Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
NASUBIRI MROPOKE. 1)kinywa cha walo wambea,hakichoki kuongea. Midomo imelegea,ka mchuzi wa bamia. Mitani wajikalia,uongo kujipigia. Mtaja kula makonde,nasuburi mropoke. 2)umbea mmebobea,kwa sifa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona hii kitu kwenye post za watu ina maanisha nini "mwafwaa?"
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SAA YA UKOMBOZI. 1)Watu watakuwa huru,haki itapatikana. Utatoweka udhuru,wao watapotengana. Tuwe wakali ka faru,kwa umoja kushikana. Ni saa ya ukombozi,karibia inafika. 2)Natushikane...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
KUTOA ELIMU KWA LUGHA YA KWANZA AU LUGHA INAYOELEWEKA KUNAMPA MTOTO FURSA YA KUUNGANISHA ELIMU NA MAISHA YA KAWAIDA. KIINGEREZA KWA TANZANIA NI UKUTA UNAOZUIA MUUNGANISHO HUO. PIA, KUNAMPA MZAZI...
1 Reactions
27 Replies
17K Views
Habari wakuu? Naomba kujuzwa maana ya neno KURAGHIBISHA nimekutana nalo sehemu katika sentensi "Kuraghibisha na kuboresha"
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa nina swali lina utata kwa upande wangu. difference between conflict and mis understanding.? Msaada tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimekuwa hapa mombasa kwa kipind kirefu pia nakaa na lamu,nilichogundua kwa miaka sita yangu katika jiji hili ni utofaut wa lahaji ya watu wa lamu, , , , , , maji=mayi moja=moya viatu=ziatu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni nini tofauti kati ya lugha mama na lugha ya kwanza?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya maneno me yananichanganya kabisa japo yanatumiwa na watu wengi mtaani Kwa mfano neno " Kausha" me cjui maana ake plz anaejua nieleze
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Sasa msianze kunirukia na kunishadadia kwa kusema mtu ana sura ya kiatu wakati kiatu chenyewe ninachokizungumzia wala hamkijui. Labda chaweza kuwa kile cha ‘ko-ko-ko' au vile vya ngozi...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Hili neno #shoga linaboa huwa nini maana yake haswaa wazee wa kamusi na visingeli.
0 Reactions
7 Replies
23K Views
Faulting, folding, mass wasting, glaciation.
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Kuna haja ya kufahamu maana halisi jipu na kutumbuliwa kwake. Yawezekana hadi sasa hatujawahi kuwa na jipu wala mtu kutumbuliwa au kama wapo basi ni wachache kuliko inavyodhaniwa. Maana tangazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lugha yetu imekuwa pana na yenye matata mengi sana. Ndugu zangu wapenda kiswahili napenda kujua ipi kati ya hizi sentensi ni sahihi na halisi kwa huyu muusika (FUNDI)? 1; FUNDI uashi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF nimekuwa nikipata ukakasi kuhusu matumizi ya maneno Jeneza na Sanduku la Maiti/Marehemu. Mara nyingi watu wamekuwa wakiyatumia maneno haya mawili kana kwamba yaanamaanisha kitu kimoja...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Kimasai = supai? Kingereza = Hellow! French= bonjour! Germany = gutten morgen, gutten tag, gette nacht! Kisukuma = ulimhola?? Kinyakyusa = tununu? Kihehe = ugonile? Kimeru= naare mbonyi...
3 Reactions
48 Replies
17K Views
.
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Naomba msaada jaman kuna watu tunabishana nao hapa wengine wanadai ''hakushiba sana''kwa madai Kwamba sarufi ya kiswahili haina dhima ya ''Ja'' Na wengine wanadai 'hajashiba sana' lakini...
2 Reactions
37 Replies
10K Views
Taswira Alimkuta amelala, Akamziba masikio, Kisha akamwambia, "Amka[emoji779] Huu mchana wewe". Hakua kiziwi, Ila alikua fofofo, Kwa mnong'ono wa jazba, "Shauri yako na maisha yako[emoji779]"...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
NDIO MFALME SASA Kaumu vumilieni ndivyo hivyo ishakua Yeye kashiika mpini kiongozi bwana juha Haya mwingi akilini hata ma mbo ya murua Sasa ni Maliki wetu Muhimu kumuelewa Muhimu kumuelewa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom