Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kuna tofauti gani kati mubashara na mubashira?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fonolojia ni sayansi.Jadili
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MWANZO WA NGOMA 1)Kweli hii ngoma ngumu,kuipiga na kucheza. Kama unakunywa sumu,chunga watakulegeza. Ipige hadi idumu,ukiacha watubeza. Huu ndo mwanzo wa ngoma,ama kiki watafuta ? 2)wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WETU MGAMBO. 1)Siwezi mi kuamini,kama ni wao wenyewe. Imetoka ofisini,wale waje watendewe. Ahadi zi mazishini,laona jicho la mwewe. Hawa ndo wetu mgambo,na ndo kazi waliotumwa. 2)Wayatenda ya...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Naomba wataalamu wa Lugha mnisaidiea kuhusu suala hili. Mimi nasikitishwa sana kuona vyombo vya Habari vya kielektoniki vikiita majina ya kiingereza baadhi ya Vipindi vyao wakati vipindi hivyo...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Naombeni kujua maana ya neno hili " rijali"
0 Reactions
11 Replies
17K Views
Nahitaji kudownload app ya dictionary english-Swahili ipi ni nzuri jamani? Au anaeifahamu ashare na mimi kwa link basi. Nitashukuru
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jana nilikuwa naangalia Kipindi cha malumbano ya hoja kinachorushwa na kituo kimoja maarufu cha TV nchini ambacho kwa sasa kinajiita Super Brand Afrika ya Mashariki na kati.Katika malumbano yale...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
TABII STAKIRI Chunga upulikayo, Ya walimwengu ni zakayo, Punga ya hofu ni uikibaliyo, Macho ya ubongo ni zaidi ya uonayo. Ya farisi ya farisi, Ya bahaluli tuyafilisi, Fakiri tumuabiri vizuri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jaman nipen uhusiano huo.
0 Reactions
12 Replies
35K Views
I was perusing a local magazine here in USA then met this phrase ' characters of questionable reputation' Could any one here let me know what does it mean as its strange With Regards
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Wanaforum habari zenu, nahitaji msaada kupata vitabu kadhaa vya Kiswahili, ni riwaya na tamthilia hasa, nimehamia ughaibuni,(Linkoping, Sweden) karibu mwezi sasa na nahitajika kujifunza Kiswahili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
USITUFUNGE MDOMO. 1)Mikono ina sauti,kali kuliko ya radi. Ulipuka kwa kishindo,inapopanda midadi. Acha mdomo useme,hata kama siyo jadi. Usitufunge midomo,mikono itaongea. 2)Busara hata...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Ni kiswahili sahihi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpumbavu nm(wapumbavu) Mtu anayeshindwa kuelewa jambo hata akielezwa, juha, zuzu, jura, nyange, baghami, bahau, hambe, maarasi, zebe, mbumbumbu...
3 Reactions
19 Replies
35K Views
Tangu nikue, hadi nimemaliza chuo, ni neno moja tu ninaloliona na kuliskia, iwe ni dukani, kwenye TV n.k.: Blue Band. Je, kwa kiswahili inaitwaje? maana nime-google sipati jibu, japo nahisi neno...
0 Reactions
61 Replies
49K Views
Habari zenu wakuu, Nimegundua kujifunza KIFARANSA pekeyangu ni ngumu sana, sipati watu wa kuzungumzanao. Nahitaji watu watatu wenye nia ya kujua lugha ya kifaransa, nitawalipia 40% kama motisha...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
OLE WAKO ISINYESHE 1)Ni pilipili ya shamba,mjini yawasha nini. Mjanja nae mshamba,hapa namwacha hewani. Fumbo nalifunga bamba,usilitie jichoni. Tutakuhisi ni wewe,ole wako isinyeshe. 2)Mangi...
1 Reactions
1 Replies
796 Views
Watu wanaona raha gani kutumia kiswahili kibovu namna hii?Eti chama tawala.Kwanini wasiseme tu chama kinachoongoza?Kuna dhana flani ya kutishana na kukatisha wananchi tamaa kisaikolojia.CCM...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
KITASA Kitasa changu kibovu, chanitesa mwenzenu. Chaniacha na makovu, tafuteni cha kwenu. Kucha kutwa kichovu, mwakichokonoa chenu? Basi vyenu viwe vyenu, na changu niachieni. Choko choko ni...
0 Reactions
8 Replies
731 Views
Back
Top Bottom