Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wana-Jamii forums! Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza. Tarakilishi=Computer. Mtandao=Network. Mdahalisi=Internet. Barua pepe=E-Mail. Tovuti=Website. Peruzi=To surf...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Kama wewe ni Mdau wa lugha ya Kiswahili unakaribishwa katika jukwaa la Kiswahili lililosheheni mambo ya kutosha kuhusu Kiswahili kwa wasomaji wa ngazi zote. Pakua App ya MWALIMU WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kuelimishwa Hivi wanaume walio oa wake nyumba moja wao wataitanaje. Samahani kwa Usumbufu
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Mimi ni mwanafunzi wa Kiswahili na nina maswali juu ya lugha. "Bwana Amri Abedi aliandika mashairi yanayokuwa magumu." Kwa nini sentensi hii si sawa? Nataka kuandika "Bwana Amri Abedi aliandika...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kwenu wajuvi wenye uelewa wa lugha na mila za kitanzania hebu tafadhari nijuzeni kuna maana gani mtu akisema KINYAGO TUKICHONGE WENYEWE NA KUKIWEKA SEBULENI ALAFU KITUTISHE??
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nimetimba tena kwenye jukwaa letu pendwa nikihitaji ufafanuzi wa maneno haya, naona tumekuwa tukiyatumia sana kimatamshi ila yamekuwa yakinitatiza kimaandishi. Kuna neno huwa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Guys, Naomba msaada wa haraka kuhusu neno "VILASI." Nadhani hili neno linahusiana na masuala ya ubatizo; sasa kuna kifungu cha maneno nimekutana nacho ambacho natakiwa kukitafsiri kwenda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi napenda sana kujifunza Lugha yetu hii ya Kiswahili. Leo ningependa kuwashirikisha juu ya changamoto inayowakabili watu wengi sana katika kutamka baadhi ya maneno ya Kiswahili. Kuna maneno...
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Wakati niko shule, yaani shule ya msingi, sekondari na hata chuo, nilikuwa naamini kabisa kwamba kiswahili ndiyo lugha yenye umiliki wa neno mama. Pia nilikuwa naamini lugha nyingine zinazotumia...
2 Reactions
20 Replies
16K Views
Hakika hali wa shani,kila jambo lina asili yake.Sababu kila jambo lina asili yake,bila shaka ushairi wa kiswahili una asili yake.Hapa nina maswali yaliyomili katika kichwa cha habari hapo juu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
How Many Languages of Africa Are There? Not only is Africa the second most populous continent in the world with over one billion people, but it is also home to the highest linguistic diversity in...
9 Reactions
48 Replies
10K Views
CHOZI LA MADHABAHUNI. 1)Inataka ujasiri. Kweli kufichua siri. Watakiwa uhodari. Uvae ujemedari. Tena ufanye kwa hari. Kuitangaza habari. Huo ni utangulizi. Chozi la madhabahuni. Siyo siri kuna...
1 Reactions
0 Replies
729 Views
KILE KITU CHA USIKU. 1) Mchana kinalegea, nguvu usiku chapata, Kama vile chabembea, ajabu kukikamata, Taratibu chasogea, mwendo wa pole wa bata, Kile kitu cha usiku, hata mchana si kipo? 2) Tena...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba kujua maana ya neno una mambo ya kitoto na unaongea kama mtoto endapo mtu anakwambia maneno kama hayo anamaanisha nini?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina uhakika nina gundu, Haifichiki kama nundu, Wazi wazi bila ukungu, Hii ya leo ni kali, nimechoka paka basi. Nilikua daladalani, Mtoto mzuri pembeni, Anasimu kiganjani, Hii ya leo ni kali...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
KARIBU MKOROMIJE SISI TUNAKUNGOJEA Daudi bashite pole, huruma nakuonea Koromije polepole, karibu twakungojea ulijitia kiherehere, jiji ulilivamia sasa unarudi na ndala, kipi ulicho sahau? Wewe...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua tafsiri na maana ya GOVERNMENT GAZETTE au OFFICIAL GAZETTE. Na pia **** Kuna mfano wake mtu anayo nakala yake atupie hapa. Asante
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Neno gani la kiingereza lina herufi tatu tu Lakini linaleta maana. Mi nimeeanza na. 1.And 2.Use 3.But 4.See . . . . . . . . 100.Bye
0 Reactions
124 Replies
16K Views
Mfano, Mbowe akamatwa na 1.misokoto 500 2.kete 500 3.puli 5000 Naomba mnisaidie nipate ufafanuzi wa maneno hayo.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai. Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom