Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Today French is an official language in almost 50 countries. 27 African countries speak French. It is spoken by more than 200 million people on five continents. It is also an official language of...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Wadau naombeni msaada wa kamusi ya kiswahili sanifu.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Wakuu nimetafakari neno hili "shubiri". Tunaikuta katika sentensi kama "Ametia tone la shubiri katika sukari", au "mapenzi ni asali lakini ni pia shubiri". Hapo "shubiri" linataja ladha chungu...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Lugha hii mara nyingi hutamka neno mara mbilimbili KM:- Pilipili pikipiki Tikitiki tete lialia chuchu kuku koko ............. endeleza tuona wapi..!!!!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu yenu kibatari Sitaki chenu kiburi Mlinitupa duhuri Kwa hiyo yenu ghururi Na nyingi zenu shururi Niliweza zisubiri Nikawa kama kaburi Wala hamnidhukuri Mlikuwa mwafikiri Kuwa mimi ni faqiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kumaliza makala kuhusu vipimo vya kihistoria vya Waswahili kwenye wikipedia nimeongea leo hii na vijana nikiwauliza kama wameshawahi kusikia maneno kama "Wanda", "Morta" au "Shibiri"...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wilaya yangu haina janga la njaa bali inauhaba wa chakula. Nini tofauti ya kauli hizi mbili?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
1.------------Ni neno refu la kiingereza ambalo ukitype kwa kutumia keyboard ya computer utatumia mstari mmoja tu wa herufi ambao ni wa kwanza(mstari wenye herufi; P,O,Q,W,E,R,T,U,Y,I) 2.Nilikuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
"Mdomo wa mwenye hekima upo moyoni mwake bali moyo wa mpumbavu upo mdomoni mwake"
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasalaam wataalam wa lugha ya kiingereza. Twende kwenye point. Mf This is John's pen. Hii ni kalamu ya John. Na kama ni ya James tunasema This is James' pen. Je kama wamiliki wa hiyo...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za muda huu, natumai nyote wazima poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja Kwenye Mada: Wakati nasoma o-level nakumbukia kwenye...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu wana jf Poleni kwa majukumu ya kila siku kwa miangaiko ya huku na kule..... pasipo kupoteza muda ngoja niende kwenye mada Ndugu zangu lugha ya kiswahili n lugha nzuri sana, pia ndio lugha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wadau, Natumaini humu ndani tupo watu wa kabila tofauti.Ningependa mtu anisaidie kuntafsiria hii lugha ya kinyiha ikibidi nijifunze kidogo. Nitatoa baadhi ya maneno ama sentensi hapa chini...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
MTOTO WA BABA HAGUSWI. 1)Shikamo kaka mkubwa,pole kwa kuchapwa fimbo. Usihofu ndo ukubwa,umeepuka mkumbo. Usiuwaze ubwabwa,ulochanganywa na shombo. Huyo mtoto wa baba,haguswi eti haramu. 2)kweli...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari jamani tunabishana hapa Wakristo cha kubebea maiti wanaita Jeneza je waislamu kile wanachobebea maiti kutoka msikitini kupeleka makaburini wanaitaje?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada natafuta mwalimu wa kunifundisha kiingereza kwa ufasaha.Niko iringa
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1:kisukuma - Lugha ya asili angalau nikiwa vijijini napata muda wa kubadili mawazo na wazee kwa lugha asilia ( pia asiyekubali kwao ni mtumwa) 2:kihispania - ni mpenzi wa Barcelona, nafurahi sana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu methali hii isemayo "nyama ya usiku haina mafuta" ina maanisha nini
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba tujadili juu ya hili kosa la kifonolojia ambalo watumiaji wa kiswahili wamekuwa wakilitenda panapo au pasipo kulijua na namna ya kuliepuka. Nitaeleza halafu kisha nguli wa hii lugha...
2 Reactions
14 Replies
9K Views
Back
Top Bottom