Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nini maana ya neno hulka? Na je unaweza sema mtu ana hulka ya wizi? Au hulka ni kwa vtu vzur vzur tu? Msaada
0 Reactions
2 Replies
18K Views
1.I was not informed. 2.I was not inform. Ipi itakuwa sentesi sahihi hapo?
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Naombeni kuwauliza wana jf hivi ule uandishi wa anuani ya mwandishi kwenye barua [emoji404] kuwa kama hivi[emoji116] [emoji116] ------------------------------ Kalenga kidamali, S. L. P 42990...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
''Baba mimi ni mtoto wako wa ngapi?"
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari za mchana wanajf jaman naomba kujua tafsiri ya hizo pointi hapo kwenye picha naitaji kuziandika kwa Kiswahili nimeshindwa kuyaandika kwa Kiswahili hivyo naomba mwenye kujua maana yake kwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za muda wanajamvi...? Nimekuwa nikifuatilia habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa, kuna maneno kama manne huwa nakosa tafsiri yake ya moja kwa moja kwa kiswahili sanifu, Wataalamu wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sina budi kwenda kuoga Sina budi kwenda kulala ---------------------- Hivi kwanini isiwe: -------------------------- Nina budi kwenda kuoga Nina budi kwenda kulala --------------------------------...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu nina msemo ambao kwangu nimgumu kidogo hivyo nilikua naomba msaada nifahamu kwamba:- Nini maana ya msemo "MWENDA TEZI NA OMO, MAREJEO NGAMANI"
0 Reactions
11 Replies
7K Views
AJALI YA LUCKY VICENT. 1)Ni msiba wa taifa,umeukumba Arusha. Tena bila taarifa,kifo hakina bahasha. Kifo hafanyiwi dhifa,kifo hakina bashasha. Poleni wana Arusha,msiba umetupata. 2)Ni huzuni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kuna kitu kinachonikera kwenye blogs zetu ambazo huandikwa[kutafsiriwa kwa kiingereza] ni ni oborongaji wa lugha hiyo kiasi hata nikisoma mimi ambaye ni mtanzania sielewi na mara nyingi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nipeni kiti nikae, nikae na niteteme, Ndugu msinishangae, nililonalo niseme, Ya chakula cha ukae, maneno yangu nipime, Sambusa ni tamu bwana, hasa za kitanzania! Nilialikwa na Rozi, Fatuma naye...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
ACHENI KUBETI. 1)Soka limekuwa shoka,vijana linawakata. Mifukoni wachongoka,pochi zabaki ukata. Mipesa inatoweka,shilingi wanazopata. Vijana nawausia,sasa acheni kubeti. 2)Akili...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Tumezoea kuswma bahati mbaya lakn hapa Prof amenitoa tongotongo japo bado natafakari ama wenzangu mnaojua ni kwa nini mtiririke
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Neno SAFARI lina maana ngapi wakuu? 2. Kwanini neno SAFARI limewah sana kuvuka mipaka katika Dunia? Najua wengi mtaniona mjinga, ila yote kwa sababu nataka kujua. Siku zote napendelea kuwa...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Jamani sentensi hii utaisemaje kwa wakati ujao Fatuma alichota maji Fatuma aliandika vizuri asante
0 Reactions
6 Replies
856 Views
Habarini wanajamii, Leo nimeona niwaletee baadhi ya misemo ya kinaijeria na maana zake. Misemo hii ipo katika lugha ya PIJIN( mchanganyiko wa kingereza na lugha za asili za naijeria) ila maana...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba msaada kufahamu maana ya neno "WAJANJABI"
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu mimi ni kijana niliyeishia darasa la saba kielimu, natafuta mtu yeyeto wa kunifundisha kingereza cha kuongea na kuandika. Kama kuna aliyetayari aniambie
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana Jukwaa... Nimekuwa nikitafuta soft copy ya Kamusi ya Kiswahili - Kiswahili kwa ajili ya matumizi ya kazi zangu (Uandaaji/Utunzi wa makala za kijamii) mtandaoni bila mafanikio.. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
KATIKA kitabu chake cha tawasifu "MAISHA YANGU NA BAADA YA MIAKA HAMSINI" Shaaban Robert anasimulia dhiki, adha na udhalili alioupitia, pengine kwa sababu ya Uafrika wake, kipindi cha ukoloni...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom