Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
SONGOMBINGO LA KIBITI. 1)Nilisema sitosema,ila sasa tumechoka Nitasema nayosema,hata kwa kuja ropoka Yalosemwa ndo nasema,leo yaje kujulika Songombingo la Kibiti,washenzi mnahusika. 2)Hivi mna...
2 Reactions
1 Replies
894 Views
Katika pitapita zangu za hapa nimekutana na makabila mengi Tanzania yenye mila na desturi tofauti katika kufanya kazi zangu Ila katika pitapita zangu kila ninapokutana na watu tokea kabila la...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Hivi huu msemo wa kuliamsha dude asili yake ni nini? Naona umekuwa maarufu ghafla.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu,wanabodi,wanajamvi,wanajf Lugha ya kiswahili ni tamu sana hasa pale unaposoma riwaya au mashairi matamu tena yenye ufundi toka kwa mafundi wa kiswahili. Upande wa kiingereza kuna riwaya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kweli ni jambo LA kushangaza kuwa neno mapenzi ni will katika kiingereza wakati neno upendo ni love.sasa kwa nini watu husema nimefanya mapenzi na yule kaka au yule binti wakati neno hill...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam... Niende moja kwa moja kwenye maada: Naomba kuuliza kuwa "Asiatic Moslems" wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya kiswahili? Lengo si lingine bali ni kutaka kujifunza na pia zaidi...
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Wanajukwaa, nawasalimu nyote, Mengi kuwapeni nyote, kiswahili chetu sote Tukitumie popote, kufundishia elimu. Ni lugha ilo rahisi kuelezea zetu hisi utamaduni kuuakisi Mtazania kujivunia
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Umdhaniaye ndiye kumbe siye Unaesema siye kumbe ndiye Haya maneno yananichanganya sana Yana maana gani hasa katika maisha tunayoishi??
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Someni kwa kubonyeza link hii KANISA NCHINI GHANA LAFANYA IBADA YA SHUKRANI KWA CHELSEA!
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Wana jamvi, Nimeanza kusoma kitabu cha Marehemu Shaban Robert kiitwacho kusadikika. Ninakisoma kwa speed ndogo ili nielewe vizuri maudhui yake. Naomba mlio nacho mniunge mkono.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kazi hii ni ya mkataba wa mwezi mmoja ambao unaweza kuongezwa. Mfasiri/mkalimani huyo, anatakiwa kuwa na sifa ya uelewa mzuri wa lugha zote mbili, alie na uwezo wa kufasiri kwa kasi na ufasaha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilikuwa na hwamu ya kujuwa maana ya nyoope. Hii inamaana gani sasa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam Niende moja kwa moja kwenye Maada Mi ningependa kujua "Asiatic Moslems" wanaitwaje katika lugha yetu adhimu ya kiswahili. Lengo si lingine bali ni kijifunza na naihitaji hii knowledge...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Kiswahili ni lugha nzuri na iliyo tamu sana. Na ni moja ya lugha zilizo rahisi kujifunza. Tatizo moja kubwa nilionalo mimi ni ukosefu wa taasisi imara za kukikuza. Baadhi ya watu hudai...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Asalam aleykum,natumaini ndugu zangu waisilamu mko vizuri baada kupata futari,leo nimemsikiliza mkuu akiongea na ma RPC wote,nisiwachoshe sana naomba wale wataalamu wa lugha waniambiea haya maneno...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Looking to improve your English vocabulary? Then this is the right place for you. Feel free to post any word together with its meaning, origin, etymology, an example of how it's used in a...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayefanya uchunguzi kuhusu lugha: naombeni msaada wa methali tano kwa lugha ya kichagga zinazomhusu mwanamke na maana zake , ASANTENI
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaandika Amana Epaphra Baraza la Kiswahli la taifa (BAKITA) limesema kuwa limesikitishwa sana na kitendo cha Wajumbe wa Tume ya Kuchunguza mchanga wa Madini kuibua neno la uongo kuhusu mchanga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DAUDI HUKUJIPANGA. 1)kishindo kimesikika,bomu laenda lipuka. Mboga imeshamwagika,mambo yanaharibika. Na siri zinafichuka,zile zilizofichika. Daudi hukujipanga,kumuua Goliati. 2)Mzimu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom