Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kama ambavyo inajulikana manenk mengi ya kitaa huanzia jela.. Inasemekana jela ndiyo kuna masela wengi na maneno mengi ya kihuni huanzia huko. Ingizo jipya mwaka huu ni neno'mzee baba"hili lina...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Kuna watu wanang'ang'ania kuongea English ili kujipambanua kuwa wasomi.Lakini English yenyewe ni vunjashingo. MFANO: Tundu Lisu aliongea Kiingereza Bungeni jana ktk mjadala wa wizara ya nje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna tangazo limekuwa likirushwa kupitia Luninga na vituo vya redio na kupitia tangazo hilo imekuwa ikisikika sauti ya mheshimiwa Rais akiwataka TANESCO kukata umeme popote pale bila kuogopa...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Andika sentensi yoyote ya kiswahili ambayo ni ngumu kuitafsiri kwa kingereza au sentensi ya kingereza ngumu kutafsiri katika kiswahili nikupe msaada fasta. Pia wadau mnaruhusiwa kuchangia
1 Reactions
118 Replies
22K Views
CHETI MWATAKA CHA NINI 1)Ingelikuwa elimu,iwekwe karatasini. Ingelikuwa si ngumu,watu shindwa maishani. Ingelikuwa ni sumu,ung'atwapo unyayoni. mwataka cheti cha nini,ndicho kifanyacho kazi ...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
LUGHA YETU UTAMADUNI WETU Naomba nitoe wito kwa wachagga wote wanaojua kichagga watufundishe kichagga na watutengenezee mada kabisa. Ikiwa utakuwa unafundisha Kirombo useme unachofundisha ni...
1 Reactions
31 Replies
15K Views
Nini maana ya neno kongore
0 Reactions
0 Replies
5K Views
SANAA YA ARUSHA. 1)Mwanzo ilianza vyema,kama nuru ikawaka Tulionajambo jema,wengi wakajumuika Lakini bado mapema,kama taa yazimika Hi sanaa ya Arusha,kama dira yapoteza. 2)Wasanii wa filamu,ujumbe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu wa lugha naomba tusaidiane.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nakumbuka wakati nipo mdogo Mama kuna muda mwingine Huwa ana mtuma Dada Akimwambia "oko"chungu jikoni Lakini sasa ivi pia nasikia Matangazo yana sema "okoa"pesa naombeni mnisaidi ili neno wapi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Aisee katika mlolongo wa maneno lukuki yanayojitokeza kutokana na matukio ya kitaifa hivi sasa hili neno "DUDE" limeibuka na kushika hatamu katika vyombo vya habari na kwenye mitandao ya kijamii...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
SENTENSI ZIMETOA UTATA KWA WATU WALIPOZISIKIA BASI KAMA UKIZIELEWA SAIDIA KUEZIELEZA. 1:yule kbogoyo asiyekuwa na meno yote leo kakamatwa sokon anaiba anaiba mifupa ya nyumbu. 2:ule mmbu...
0 Reactions
6 Replies
945 Views
Pisi aponi tu yu. Kwa miaka mingi methali na semi za kiswahili zimekuwa nyenzo fikirishi ya kujifunzia,kuonya kutahadhalisha na hata kuburudisha. Lakini sasa naona maendeleo ya teknolojia kama...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
My name is me, I , and My self.......nipe tafsiri ya hiyo sentence kwa lugha ya kiswahili.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
TUSHAANZA KUTISHANA. 1)Ile ni siku ya kwanza,tulidhani yamepita. Kumbe mwanzo yalianza,bunduki kwenye utata. Kwa lipi tunajifunza,ama mapito twapita. Tushaanza kutishana,katika kisiwa hiki...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Mada hii inalenga kukuwezesha: (a) Kufafanua maana ya neno "utafiti" (b) Kueleza historia fupi ya utafiti katika bara la Afrika (c) Kuorodhesha vifaa vinavyopaswa kuwepo ili utafiti ufaulu (d)...
1 Reactions
0 Replies
26K Views
ELIMU AU MAIGIZO? Uhakiki wa Sera ya Lugha Katika Elimu Tanzania Z.S.M. Mochiwa katika Kioo cha Lugha 2,1996/97:41-58 Z.S.M.Mochiwa katika kuhakiki sera ya elimu katika Tanzania anaeleza...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Kila ninapotazama mbele –tuseme miaka 20 ijayo – kuhusiana na lugha yetu ya Kiswahili, naona tunakoelekea kama taifa si kuzuri sana. Zamani ilizoeleka utani kwa watu wa kanda ya ziwa ambao kwa...
1 Reactions
4 Replies
926 Views
Karibia maana halisi na majina ya maeneo mbalimbali hapa nchini Tanzania tayari nimeshapata ' Kiini ' chake ILA mpaka hii leo naandika huu ' uzi ' sijapata maana halisi ya hili neno la eneo...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Kipindi tukisoma msingi na sekondari tuliimizwa sana kuifahamu lugha yetu vyema pengine na bakora zilikuwa zikitembea lakini yote hiyo ni kukufanya uelewe. Ukijiuliza namna ulivyokuwa ukijifunza...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom