Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kuna baadhi ya maneno kuelezea hali ya mazoea yatumika vibaya. Imekuwa mazoea sijui kama watu huwa wanajua wanafanya makosa. Mfano baadhi ya maneno hayo. Anakwendaga, anakujaga, anakulaga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiswahili ni miunganiko ya lugha tofautitofauti duniani na nimoja ya lugha tamu na yenye kuvutia pindi uongeapo.je ni lugha ya ngapi kwa ubora duniani?
1 Reactions
10 Replies
17K Views
Sweet potatoes kwa Kitaalam vinaitwa 'Ipomoea batatas' hii ni njia ya kitaalam ya kuvitaja viumbe hai kwa kutumia majina mawili (binomial nomenclature).
3 Reactions
46 Replies
19K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza "pole sana" kwa kiingereza unasemaje?
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Waatalamu wa mambO naombeni mnijibu swali hilo.. Mara Nyingi kila nikisikia USA wanaongelea vita lazima wataje neno 'allies'.. Kama sahivi wanapoongelea kuipiga NK lazima wataje 'allies'.. Tangu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1.kulia niliona jembe,kushoto nikaona sembe nyundo iliyomuuwa kenge,taratibu imevishwa pembe rombo kapigwa chembe,katulia akila sembe. 2.ujio wa ujio,umekuja bila kilio ujio wa wajio,umekuja na...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis, nini maana ya hili neno TAFSIRI YAKE, kwa kiswahili na maana yake.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mara nyingi watumiaji wa lugha ya kiswahili tunafanya makosa bila kujua,kwa wataalamu wa lugha ya kiswahili je ni sahihi kusema kuwa"Nimemkuta hayupo" pale unapoenda kumtafuta mtu ukamkosa
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakuu nimewasikia wanawake kadhaa wakilitaka hili kitu sijui nimekunywa kojo sasa ningependa kujua ni kitu gani hiki?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni app ya biblia kutoka playstore, hapo nadhani walikuwa wanamaanisha yale mambo ya "please rate this app" Hapa nadhani wanamaanisha "press back to exit"
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wasalaam, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kwa nini waafrika wengi mtu anapokuwa hawezi kuongea kiingereza huwa tuna muona kama si lolote si chochote,Kuna Kipindi nimewahi kufanya hizi kazi za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Pendo ni kitu adhimu ,Mungu ametuumbia Tupendane binadamu ,Ushenzi kuukimbia Tusiwe wana haramu ,Wenzetu kuwaibia Pendo kitu cha thamani , tena kitu cha furaha. Raha ya pendo kupendwa , Na yule...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa wale ambao mnaongea lugha zaidi ya moja , hivi mawazo au fikra huwa yana lugha? Nakumbuka nilivyokuwa secondary mwalimu wangu wa kiingereza alikuwa anaseama ili kuepuka kuongea broken "think...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili neno limechipuka kama uyoga. Lilianza nafikiri Redio One au Clouds, likiwa na maudhui ya kimapenzi. Sasa linatumika kila mahali, sasa niambieni waswahili, kama hii mada nayo ni mubashara!
0 Reactions
5 Replies
9K Views
wiwona na vv wikimunu kumbe wikipvya hela be
3 Reactions
70 Replies
14K Views
Wakuu, huwa natamani kuifahamu lugha ya Kilatini lakini kwa kuanzia nikaona nitafute kamusi ya lugha hiyo, kwa bahati mbaya kwenye maduka makubwa kama Cathedral Bookshop Dar hakuna. Tafadhari...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ENGLISH SWAHILI Tyiping Kuchapa Printing ? ? ? Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyokieleza! Naona sasa imefikia muda sasa wa kujifunza lugha yangu ya asili, msaada please kwa anayejua wapi labda kuna sehem wanafundisha Kichagga at least kile...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Baada ya kusahau nywila(password) ya kadi yangu ya kiotomotela(ATM) nikaamua kukaa mgahawani (restaurant) jirani na kilipo kiotomotela na kuagiza vibanzi (chips) vikavu na sharubati (juice)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii nimeseji umetumwa na mtandao wa Airtel wanaisambaza ila hawajui tofauti ya haya maneno IDHAA na IDARA.[emoji85] [emoji85] [emoji85] shame on you airtel.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom