Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Elephant: The class teacher asks students to name an animal that begins with an "E". One boy says, "Elephant."Then the teacher asks for an animal that begins with a "T". The same boy says, "Two...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu, naomba mnisadie tofauti kati ya muda na wakati kuna jaaa kapost kuwa kila kitu kina muda na wakati wake mi nikamuomba anipe kidogo tofaut mi sikumuelewa basi ye kanimind
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Binafsi ningependa kujua swala moja tu, kila mtu humu ndani anajua jinsi lugha ya Kiswahili inavyo tumika (kutamkwa/kuzungumzwa) mara nyingi na makabira ya bara na baadhi ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Sisi kikwetu tunaita Lung'ombe Wewe je?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatazi.................? ...........................
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakubwa Hivi sentensi '''' wewe ni wa ngapi kwenu kuzaliwa''' inatamkwa vipi kwa lugha ya kiingereza??
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiangalia vipindi vya wenzetu wanaotumia kiiengereza, vipindi vya televisheni vya moja kwa moja hukuta wameandika neno LIVE kwa juu pembeni na mara nyingi ni upande wa mkono wako wa kushoto ukiwa...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
wasomi wa kiswahili je ni sahihi kusema mfn. Dada katembea uchi wa mnyama???? au Dada katembea uchi wa binadamu??? tumezoea kusema uchi wa mnyama je ni sahihi??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nini maana ya disko? Maana wengi husema maneno haya 'kumbi za disko'
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nini maana ya disko? wadau maana tunaita kumbi za disko
0 Reactions
0 Replies
935 Views
naomba wanajukwaa mnisaidie tofauti kati ya hayo maneno mawili Kuonesha na kuonyesha,pia kuona na kutazama
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Hili ni swali wadau ambalo rafiki yake wa karibu kaniomba niliwakilishe kwa wanajamiiforum ili apate kujuzwa zaidi "katika uchanganuzi wa sentensi za kiswahili, sentensi zilizooeleka zaidi na...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Kaka yako akioa unasema "kaka yangu ana mke" je kaka zako wakioa utasemaje?____________.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama wako ni Makata, wangu mie Subiani, Kama Nungwi amepita, tukutane kilingeni, Umeianzisha vita, nduguyo kumfitini, Nasema waja kujuta, mpewa hawezekani. Kama mi' niliokota, nawe uende jaani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NAWAOMBA WASHAIRI NA WASWAHILI WAJE HAPA. TUJADILI FANI NA MAUDHUI. SIASA WEKA KANDO. CCM NI SHETANI, PEPO HUTOA SHETANI? Fikiri upime sana, sinilaumu bilashi, Fikiri pasi sonona, uwe bora...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katu hapandi farasi, yule mzoea punda, Mpenda kwenda kasi, mwendo pole humshinda, Amezoweshwa fenesi, doriani lamshinda, Sitokalifisha nafsi, nafanya ninayopenda, Loo! Nina wasiwasi, kwa mambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Customs ? Bandari ?
1 Reactions
4 Replies
14K Views
Alichonong'ona mwezi, Kiza imekisikia, Usiwe kama mkizi,uketi kwa kutulia, Niseme nawe kwa wazi, mwanangu hebu sikia, Siwache hisia wazi, mapenzi kuyapupia. Siyaamshe mapenzi, kama wataka jazua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SASA HAMSINI RASI, HAMSINI MAJINUNI. I SAW THEM, THEY ARE REAL!!!!! The things out there in the shadows, they are real, i can't go against my fate at all, all these i know recently after i wake...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
it's and its what is different,?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…