Umofia Kwenu wana JF,
Escrow ni neno ambalo limetoolewa kutoka lugha ya kifaransa,ni neno linalojitegemea halihusiani na tegeta wala PAP ni neno la kiingereza linalomaanisha "Fedha,mali,mkataba...
Huu wimbo huwa si-elewagi anazungumzia nin ukianza audio, pamoja na video...
Song:Tubonge
Artiste:Dr.Jose Chameleon
lable:Leon Island
Language:Swahili
Tubonge ,Chameleon...
nini maana yaneno hili nilimsikia mbunge akilisema eti ni hamu je ni hamu ya nini isijekuwa ni matusi maana wabunge hawa dizaini ya lusinde wamepinda
===========
===========
Salaam wanaMMU...
Katika Kitabu cha Tito katika tafsiri ya Swahili Union Version, tunaona vifungu hivi:
Utauwa badala ya Utawa
Nalikuacha badala ya nilikuacha
Kuna yeyote anayeweza kuniambia hizi na lahaja za wapi?
Wana J-F. mimi ninajua kiswahili na kiingereza kidogo. Ninajua Raisi akiwa mwnaume mkewe ni 'First Lady' kwa kiingereza. Iwapo Raisi ni mwanamke mumewe ataitwaje kwa kiingereza?
wataalamu wa kiswahili nielewesheni wingi wa neno uwanja ni nyanja au viwanja,neno hili (NYANJA) utumiwa na waandishi wa habari utasikia na sasa ni nyanja za kibiashara au nyanja za kimataifa...
Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jina Albino wakati tangu nazaliwa karibia nusu karne sasa, Neno sahihi la kiswahili ni Zeruzeru. Sijaona ubaya wa neno hilo jamani. Albino sio neno la kiswahili...
Kwanini WaTZ hutumia kiambishi(?) "to" wanapotaka kukanusha badala ya "ta?" Kwa mfano, atasema, Sitokuja badala ya kusema "Sitakuja." Ni kosa au ni lahja tofauti?
Kwa muda mrefu nilikuwa nikifiri...
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie ni wapi nitaweza kujifunza lugha ya kiarabu??
Kulingana na nature ya mishe mishe zangu, kuna uelekeo wa kufanya biashara na partners ambao wengi wao lugha yao...
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa katika aina za VIRAI/VIKUNDI. Mfano mwandishi James Mdee ana aina mbili tu yaani Vikundi Nomino na Vikundi Vielezi, Oxford university press wao wana kirai...
Kwenye kipindi cha michezo startv usiku wa 22/11/2014, mtangazaji wa kike mwenye mvuto na swaga za kuvutia alishindwa kutamka ipasavyo jina la timu ya ligi ya uingereza iitwayo 'swansea.'Alitumia...
Je! ni faida zipi wanazozipata wanasaikografia,walimu, wanafunzi na matabibu matamshi pale wanapojifunza taaluma ya Fonetiki inayohusiana na alama za kifonetiki ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.