haya maneno yana maana moja mwasisi , mbunifu,na mgunduzi NA je kama hayana maana moja kila jambo hapo linamana gani? naomba msaada wenu watalam wa kiswahili
Kitambo kabla cjawa baba nilikuwa najua mtu ukimwita jasusi ni jambazi lililoshindikana, baadae tena naanza kujifunza kingereza neno jesus nilikuwa natamka jasusi hapo ndo nilizidi kupagawa lakini...
Wadau naomba maana na asili ya hili neno. Toka nakua ninasikia flani kabebwa na polisi kutumia Tanganyika jeki.
Hivi hii Tanganyika Jeki ni nini na ina uhusiano gani na watu wanavyokamatwa, na...
Maneno ya Kiswahili, "roho" na "moyo" hutamkwa mara kwa mara katika maisha ya Mswahili. Baadhi ya utumizi wa maneno haya ni "ana roho ya paka", "ana roho ngumu" "ana roho ya korosho" n.k...
HELLO WANAJF
MIMI NI MBUNIFU TOVUTI WA KUJITEGEMEA NIMEBUNI TOVUTI YA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA NJIA YA MASAFA
HII N KW YEYOTE MWENYE WAZO LA KUANZISHA SHULE YA KISWAHILI ITAKAYOCHUKUA...
Je unaijua maana ya neno Msasani ambalo ni jina la eneo maarufu jijini ambalo alipata kuishi mwasisi wa taifa hili Mwl JK Nyerere?
Jina hili linatokana Mzee maarufu aliyeishi maeneo hayo...
About the successful bid of set vehicle]
thing that there is described as "vehicle and a set of other exhibition number" to the Notices will take successful bid fee of 2 cars.
When making a...
OOH RABI, NILIDHANI KARANGA, KUMBE MAVI YA MBUZI.
1. Nilidhani ni karanga, kumbe ni mavi ya mbuzi,
Sikudhani ni pakanga, katika wangu mchuzi,
Kuamini mtu janga, jiandae na mauzi.
Kuna mambo ya...
Baada ya kusahau nywila (password) ya kadi yangu ya kiotomotela (ATM) nikaamua kukaa mgahawani (restaurant) jirani na kilipo kiotomotela (ATM) na kuagiza vibanzi (chips) vikavu na sharubati...
Najaribu kuandika kitabu cha shule ya chekechea (Nursery) Tatizo ni kuwa vitabu vingi hapa ni vya kiingereza. Nahitaji yule aliye na tafsiri ya maneno haya aweze kunisaidia
Weather - Jea ni Hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.