Ipi tamu zaidi kuitamka mdomoni na kuisikia masikioni kati ya vifupisho hivyo hapo chini vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam?
UD - Yu Dii
UDZM - Yu Di Zim
UDSM - Yu Di Es Em
Hakuna kitu ninachokichukia kama ukasuku. Tokea RTD kuanza kutangaza mechi za soka, nadhani mtangazaji hakuwa na maneno sahihi ya kuishia kutangaza hivo akatumia maneno haya ya "mpira umeisha"...
Naombeni jinsi ya kutumia neno "nimeibiwa" katika sentensi mbili tofauti
nikimtuma mtu anibebee mzigo nitasema "nimebebewa...." je? nikimtuma mtu aibe kwa ajili yangu?
itatofautianaje na...
Amami Kwenu
Naombeni mnisaidie kujua maana,tofauti na tafsiri ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiwsahili.Kusema kweli ni maneno ambayo mimi binafsi uwa yananichanganya sana na mpaka leo bado...
TWABORONGA KISWAHILI.
Twajua neno ONESHA, kwa chenye kuonekana.
ONESHA kuwa ONYESHA, hapa ni lugha gongana.
ONYESHA kunyumbulisha, ONYA, ONYO, ONYEANA.
Twajiita waswahili, kiswahili twaboronga...
Tafsiri baadae
Enshonga tiyashweilwe mwa tata
Aina nsinjo anga oruhoile
Mawe ni Ma Theopista.
Mawe nto ni Kokushubila.
Mawe ntokazi ni Kaijuko
Aba nibo banyonkize,
Ekyo mbendela Orwongoba...
Tanzania..the land we rose..
Taught social ways of life..
Shield to protect our people..
Courageous to battle thousand lions
Spear to penetrate thousand miles
Reinforced to battle in war...
Naomba mwenye misamiati ya kiswahili sanifu katika taaluma ya uhasibu anisaidie ikiwemo maneno kama accrual, IPSAS, Balance sheet, Statement of financial perfomance, audit opinion nk
Nimesoma leo kwenye TV Channel E wanasema Lugha ya kiswahili ni ya pili Africa baada yaLugha ya Kiarabu. Kiarabu ndiye lugha inayoongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi Africa. Hii inamaanisha...
PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE
Kiswahili: Juma amekuwa akicheza mpira wa mguu
English: Juma has been playing football
SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya HAS BEEN kwa Pronoun au...
Habari wana jamvi..
katika pitapita zangu nimekutana na neno RAGHBA, ni neno la kiswahili lakini nimeshindwa kulielewa vizuri zaidi hasa mahala pa kulitumia.
Tafadhali wataalamu wa lugha naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.