Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Maneno haya shika,kamata na chukua watalamu wa lugha uwanja ni wenu.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wanajf! The great thinkers neno hili limekua likinisumbua kimantiki! Sina tatizo nalo katika morphological rules wala syntax yake bali its semantic components of the phrase word!(meaning)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4. Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta...
0 Reactions
34 Replies
37K Views
jamani mm ndo nimeingia hapa, naomba kujua tofauti ya hayo maneno au kama ni sawa. fungua ujuzi,elimisha tujenge taifa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau naomba mnijuze maana ya neno kuntu,kwamaana nimeliona likitumika sehemu mbalimbali.
0 Reactions
18 Replies
22K Views
(1) When in Rome,do as the Romans (2) A friend in need, is a friend indeed (3) Too many cooks spoil the broth. Endeleza...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisikia redio na televisheni zetu zikitumia neno "Taarifa ya Habari". Huwa nina wasiwasi na matumizi ya maneno haya mawili kwa pamoja. Ninaomba wataalamu wa kiswahili wanisidie kujuwa...
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Mtanisamehe kama ilishwahi kuulizwa lakini naomba mnisaidie kwani nami nimeulizwa na kukwama
1 Reactions
40 Replies
17K Views
Avoid These 20 English Words When in Other Countries France Preservative. Avoid asking about preservatives in France; you'll probably be met with strange looks. It means ‘condom' in...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kupewa neno la kiswahili lenye maana ya euphemism Asante
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kujua maana ya neno "kisawe" kwani tumezoea sana.
0 Reactions
0 Replies
13K Views
habari wakuu,natafuta sehemu ya kujifunza lugha ya kifaransa au kihispania,niko moshi.Mwenye kujua ani-pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wanajamii? Natumaini mnaendelea vyema na shughuli zenu za hapa na pale. Waungwana naomba kujuzwa tofauti ya maneno "nipo" na "niko" mfano: kama ninaendesha gari natokea...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
1.Ukitaka kujua raha ya daladala kusiwe na foleni. 2. ............................
5 Reactions
553 Replies
103K Views
Nahitaji mtu wa kunisaidia kuandika barua ya kuomba 'kazi' kwa kingereza safi na kitachovutia ambayo nta APPLY nje ya nchi. Aina ya kazi ni 'MATRON'. .
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali wana jamvi nataka kujua leseni za wafasiri lugha zinapatikanaje, utaratibu wake na gharama zake.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuchemsha mayai na mayai yaliyochemshwa. Kupika chai na kuchemsha chai
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Makamu mweyekiti wa BAKITA ( Omari Kiputiputi), amesema neno "king`amuzi" halijasanifiwa na linatumika kwa makosa katika kifaa cha televisheni. Amesema, "king`amuzi ni kile kitu ambacho huwezi...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Wadau naomba tofauti ya maneno hayo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu ambacho nimekichukua toka akaunti ya facebook ya BBC. Pamoja na kwamba mimi si mtaalamu wa lugha hiyo lugha iliyotumika nadhani si sahihi. Sote tunafahamu kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom