Naweza kuongea Finnish, Norwegian na Kiinrereza, na hivi karibuni nimeanza kusoma Kiswahili.
Napenda kiswahili kwa sababu kina pronouns, verbs and their tenses, including their negative forms...
Wana JF naomba msaada wa mtu mwenye notes za kifaransa hasa kuanzia intermediate level ili niweze kujiendeleza. Pia nakaribisha ushauri wowote utakaonisaidia katika kujiendeleza katika lugha hii...
Nadhani si vibaya kushare maneno mbalimbali na machimbuko yake kwenye lugha zetu za asili
Kwa leo mimi naanza na neno "sandauna" kutoka kwenye lugha ya kihaya
Kimsingi hili neno linamaanisha...
Hebu niwaulize nimeshuhudia utumizi wa mnyambuliko wa vitenzi ambao mwalimu wangu aliniambia sio sahihi. Hivi kukujaga ama kukujanga ni sahihi kwa sababu lugha nyingi za kibantu zina mfumo huo...
Jifunze lugha zaidi ya 18 kwa app ya JW LANGUAGE.Ina Lugha Kama vile English,Swahili,Chinese Simplified,Spanish,France,Japanese,etc. App inapatikana kwa iOS,Android na windows.
habari wakuu mimi nipo mkoani ( mbeya) natamani sana jifunza kiingereza lakin kila ukiulizia utajibiwa ras simba! je hatoi masomo onlinee,,,,ili kutusaidia na wa mikoani" Asanteni.
Dear sir / madam
African Cultural Embassy Association (ACEA), is a non-governmental Association, nonprofit making, but government aided organization, that promote, protects, preserve and...
wote hawa ni magwiji wa riwaya za kipelelezi ingawa mzee beka ni mzuri sana kwenye riwaya za mapenzi.
Taharuki - ni mbinu ya
kusimulia au
kuandika riwaya/
hadithi kwa
kufanya hadhira na/...
Nahitaji kujua kuongea lugha ya Kiingeleza (English) kwa ufasaha kwa anaejua nifanye kitu gani ili niweze fanikiwa naomba anisaidie, kusoma maneno ya kiingeleza naweza na kuelewa naelewa vizuri...
Habari Za Mchana Wana Jf Naombeni Msaada Nataka Kujua Maana Ya Negro Nakumbuka Nilivokua Mdogo Baba Angu Aliniambia Negro Ni Wamarekani Weusi,nikanote Ivo Mpaka Leo Lakin Juzi Nimelizungumza Hilo...
Utasikia Mtu Anasema "TAMU KAMA NIN"
AU
"Chungu KAMA NIN" AU "Mkali KAMA NIN" AU "Mkarimu KAMA NIN"
AU "Mkarimu KAMA NIN".... N.K
Hii "KAMA NINI " Ni Kama Nini? ?? Sijui Kama Mnanielewa Apo...
Nchi ya Ujapani imefanya majaribio ya treni inayopelekwa kwa kutumia nguvu za Sumaku na wameweza kufika Mwendokasi wa 603km/saa na hawaongei Kiingereza, siajabu wewe na baba yako mnajua...
Kwa muda mrefu sana, kusema kweli tangu enzi za augustino Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani, waandishi wa habari walinibadilisha kuhusu ufahamu wa neno 'kunguruma'. Mwanasiasa anapohutubia...
Mabudaa
mkoaje? nimemiss hizo toungue za naii.....machalii na mamanzi hebu mchoree hizo word mob za street! Me hupenda vile maderee wa matt na machali wa street hubonga!
tao = city center...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.