Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Jamani wana jF Mimi "nimgeni nisiye na mkia" nataka kujulishwa maana ya hilo neno lenye alama za uandishi.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimehudhuria sherehe moja ya kipare ya ndoa. Wakati wa nasaha wakawa eti wanawapa maharusi nasaha kwa kipare. Yaani hata Mkurya atawaelewa wanachozungumza kwani ni kiswahili kitupu, Ndio kusema...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Tanzania ni moja kati ya nchi pekee ambayo watu wanaanza kusalimia kwa kingereza kwenye mitandao harafu ni kiswaili tupu, tena jumbe zao zina vifupisho na maneno yasio fasaha hadi kelo, heti xaxa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJamii, Natafuta watafsiri wa lugha zifuatazo: German, Turkish, Polish, Russian, Romanian, and French. Kwa anayewajua atupie contact. Tuwasiliane hapa 0754 462725
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na ongezeko la watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini, nimeona mporomoko wa lugha adhimu ya kiswahili, Tatizo hili la kuporomoka kwa matumizi ya kiswahili stahiki na sahihi katika...
9 Reactions
95 Replies
11K Views
Wabunge wanatwanga maji Bungeni.Lugha ya KISIWANI haitainua Elimu kamwe.kiswahili kina asili ya uvivu na unyonge.linganisha bunge la kenya na tz utaona letu halina ......kiswahili hakihamasishi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ni jambo ambalo mwanzo nililiona kwamba ni ufupisho tu wa kuandika ujumbe lakini kwa sasa naona limekuwa tatizo,si ajabu sasa hivi kukuta mtu hajui matumizi sahihi ya herufi 'h' kwamba anaiweka...
6 Reactions
7 Replies
3K Views
wadau naomba kujuzwa matumizi sahihi ya maneno haya "has"have"had" katika sentensi ya kiingereza
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Kumekuwa na tetesi kubwa kama kweli kuna kabila la watu waitwao Waswahili au kwa jina lao la jadi (Wangozi). Wengi wamekuwa wakipinga. Lakini swali langu hili - Je kunaweza tokea lugha bila ya...
2 Reactions
10 Replies
14K Views
Ndugu wanajamii; maneno albinism au albino ni maneno ya Kiingereza ambayo yanalazimishwa kuingingizwa katika Kiswahili wakati kuna maneno ya Kiswahili yanayojitosheleza. Mtu mwenye ulemavu wa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna haya majina mie huwa yananitatiza mwenye uchambuzi mzuri sio vibaya akanitoa vumbi machoni. Hixi ni nini na utofauti wake ni nini? 1. Avenue 2. Road 3. Street 4. Crescent 5. Drive 6...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani haya maneno nikisikia mtu anayatamka au kuyasoma sehem yananitatizaga… - Nyani haoni kundule -Zimwi likujualo halikuri likakwisha jamani msaada jamani…
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mwalimu wa kifaransa atakae nifundisha mimi na mtoto wangu kwa siku za weekend kwa muda wa miezi mitatu. I'm a beginner. Mwenye contacts na mwalimu yeyote wa Kifaransa naomba.
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Tofauti ya writter, author na auditor.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Siri ya Sifuri,...... MZIMU WA WATU WA KALE..... KISIMA CHA GININGI....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani jf ndo elimu mbadala, ivi maneno hayo yana maana sawa? au kuna tofauti? aya ingia jamvn
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Mambo? Neno la kusepa ni neno sanifu? Pia hii inatumika tanzania tu au kote. Asanteni
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Habari Naomba msaada wenu, kwa kiswahili Tuna fish anaitwaje?
0 Reactions
9 Replies
27K Views
Habari zenu wakuu. Pamoja na kuhamasika na kazi za waandishi mbalimbali kama vile Kezilahabi, Shaaban Robert, Mohamed Said, Andanenga, Penina Mhando, Haji Gora, Charles Mloka, Theobald Mvungi...
0 Reactions
4 Replies
20K Views
Kwa wale wote wapenzi wa lugha ya Taifa - Kiswahili.Naomba niwaeleze hiki kitu kinachonishangaza sana. Rais wa China alipotembelea nchi yetu mwaka 2014 alikaribishwa Ikulu na Rais wetu.Kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom