Waungwana natumai mu wazima wa afya.
Natafuta vitabu vifuatavyo na ambaye anajua wapi naweza kuvipata tafadhali anijulishe
The Dry Guillotine
Banco
Butterfly
QB14
Topaz
Trinity
Exodus
Fear is...
Najua kila mtu ninapozungumzia umasikini wa lugha ananielewa vizuri sana, katika upembuzi wangu wa lugha nimeona leo niwaonyeshe jinsi lugha yetu hii tunayojinadi nayo ilivyo masikini kuliko hata...
Huku kwetu kilimanjaro na hata sehemu nyingi hapa nchini, kuna mmea ambao majani yake yanawasha sana.Ukiyagusa tu, utawashwa na kupata maumivu makali. Kwa kiswahili tunayaita washawasha.Mikoa ya...
Ndugu wanaisimu wa lugha.
Kama ambavyo tujuavyo kuwa kiswahili asili yake ni kibantu kwa kuona uthibitisho wake kisayansi na kihistoria.
Je,hawa wabantu asili yao ni wapi?
Nawasilisha.
He, jamani, kumbe kuna 'Ufuska wa Kifedha' katika ndoa? Mi sikujua hili. Na kwamba kama kuna mtu anaficha fedha katika ndoa yako--hasa kwa wale wenye vibiashara vidogo vya kifamilia basi ndoa...
Kwa Kiarabu, al-Qaeda ina silabi nne. Hata hivyo, tangu mawili ya konsonanti za Kiarabu katika jina hili hayapatikani katika fonolojia ya lugha ya Kiingereza, misemo ya karibu katika Kiingereza ni...
Naomba msaada jinsi ya kutamka maneno haya ya kimombo sababu yananipa shida kidogo
Mfano:
1.Way=wei
2.Blood=bladi
Maneno
1.Enthuasiasm=?
2.Ignore=?
3.Wrath=?
4.Wrap=?
5.Humor
Naona kwamba maneno mengi yana aina mbalimbali kama:
Kubadili - kubadilika - kubadilisha - kubadilishana - kubadilishwa
Tofauti na maana yao ni nini?
Other examples of other words please?
Rejea kichwa cha habari,nahitaji kujua sehemu ninapoweza kupata walimu/mwalimu mzuri wa lugha ya kihispaniola hapa Dar es salaam. Anayejua msaada tafadhali
Habari ta muda na wakati huu wapendwa?
Mwenzenu napenda sana kujua Kiingereza lakini ina niwia vigumu kutumia viunganishi vyake, Kwamba vinatumika wapi na kwa muda gani? Hili ndilo tatizo langu...
For 1000 years, Arabic was the primary international language of commerce, scholarship and politics, much as English is in today's world. In fact, over the centuries English adopted many words...
naomba kuelimishwa juu ya mnyama huyu:
mbuzi dume anaitwa 'beberu', na kondoo dume aitwaje? tupia jibu tusaidiane kupambana na adui 'ujinga' maana kanisumbua kwa muda sasa.....
Tanzania tunajaribu kuiendeleza lugha ya Kiswahili lakini tunafikiri tutachukua muda gani kutumia tafsiri kama hizi katika maongezi yetu ya kawaida badala ya kuendelea kutumia maneno ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.