Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali anakudharau! Mwalimu Nyerere 01/5/1995.
Kutokana na nukuu hiyo ndugu zangu watanzania,lazima kila siku kile kinachoingia masikioni...
Kwa pamoja tuungane na kuwatetea ndugu zetu hawa wenye ulemavu wa ngozi.
1>damu yake yamwagika,bila hata ya hatia.
Na vilio vya sikika.,maumivu wasikia.
Yamewajaa mashaka,kipi walichokosea ...
Mara zote msiba ukitokea tunatumia kauli ya "TUMEMPOTEZA" hii ina maana ya kwamba na nyie mlichangia kwenye kifo chake....
Wadau wa lugha mnasemaje hapa
Kwa siku mbili au tatu sasa hili neno 'kavazi' limekuwa likisemwa/kuandikwa kwenye vyombo vya habari.Nilianza kulisikia wakati wa uzinduzi wa 'kavazi' ya mwalimu Nyerere juzi na leo nimeona BBC...
WATU WENGI WATAKOSA SWALI HILI!!
Kuna tofauti gani kati ya NJE YA NCHI na NCHI ZA NJE??, kama wewe unajua kiswahili utapata tu maana kuna tofauti kubwa sana!.
Kile kitabu cha ‘PAKA WA BINTI HATIBU' ambacho kilikuwa kikisubiriwa kwa hamu na shauku kubwa hatimaye kimeingia mitaani tayari kufikisha ujumbe na kutoa burudani kwa jamii iliyokusudiwa...
Matangazo mengi yenye kilevi kama bia yana slogan inayosema: HAIUZWI KWA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA KUMI NA NANE
Swali langu kama hao chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kununua, je wanaruhusiwa...
Najuliza na sna shaka na utambuz wangu lkn hili ni neno jamii iliamua kulitumia badala penis yaan uume.
Kwa nini ukiimbwa wimbo wenye neno hilo watu huruka na husismkwa kwa kucheza
Jamii...
moja kati ya mapungufu ya usanifishaji wa lugha ya kiswahili ni kwamba .....mchakato huu ulifanywa na wageni(wazungu) hivyo kusababisha baadhi ya maneno kutamkwa tofauti na yanavyo andikwa...
Katika pitia pitia yangu ya vitabu hususan novels nimekuta zaidi ya mara tau hiv neno handsome limetumika kwa mwanamke (like Rose was a handsome womam of thirty-five pg 122, para 3, 4th line...
Kiswahili chetu kitakaa sawa lini?
Nashindwa kuelewa haya maneno MBUNGE, MBWA, MBU
Kwanini tusitumie au isomeke vizuri kwa kuandikwa M'BUNGE badala ya MBU-NGE ipi ni sahihi hapa na unaisomaje...
Na weka maneno chini niliyoyakuta yameandikwa kwa blog kama tamko kwa umma.
Kweli hawa watu wameishi marekani miaka mingi na hadi leo kiingereza ni pumba yaani hata bora wangekosea herufi ila...
Wa Nyoka Ni Nyoka", Ulilenga Nini Haswa? Nauliza Kwakuwa Nimekuwa Nikiwafuatilia Watoto Wengi Mno Wa Wakubwa au Watawala Wetu Mbalimbali Hapa Tanzania Lakini Cha Kushangaza Wengi Wao Huo Msemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.