Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naomba wadau wa lugha kwa anayefahamu msamiati wa "MTOTO WA MBWA" Anaitwaje? Anipe jibu Tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakubwa,kama kinyume cha neno JOTO-BARIDI je, JOTORIDI---????
0 Reactions
6 Replies
18K Views
Ninaposoma thread mbalimbali hapa JF,baadhi ya michango kwenye thread hizo hutumia msemo ufuatao: "..........umekula maharage ya wapi........." Ni nini maana ya 'kula maharage ya sehemu fulani?'...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
naomba mnisaidie maana ya vidahizo vifuatavyo1.kitivo2.mhanga3.miongo4.tumbua5.nyenyele6.matandu7.matlaba8.sandali9.uzimbezimbe10.kinyenyezi11.prediketa12.esperanto
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Hivi vitambulisho vya kupigia kura kwa jina moja vinaitwaje? Maana huku unyamwezini vinaitwa vipalata. Sehemu nyingine vinaitwaje au ndo hivyohivyo? Msaada plz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta Kamusi ya Kiswahili - Lingala au Lingala - Kiswahili. Kwa yeyoye mwenye nayo au anayefahamu inakopatikana, tafadhali wasiliana nami: 0784744404 /0713744401
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman wadau naomba ufafanuzi wa nadharia ya eksi baa kakika kuchanganua sentensi changamano za kiswahili
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kuna mtu ambaye anaweza kutafsiri maneno hayo: "It has been a long time since I have seen you" "Wow long time no see" ama kwa kifaransa "Ca fait longtemps qu'on se voit" Asante sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuaangalie Kwa makini stadi Kwa kilinganisha na wakati wetu tunasoma hususani 2000 kurudi nyuma na za watoto wetu au wadogo zetu hata jamaa zetu zinakidhi mahitaj yao Kwa masomo ya mbele na Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hii nimeikuta mahala nikaipenda naona niwawekee hapa jamvini. MUNGU WETU TUPATIE, RAIS ALIYE SAFI La mgambo limelia, tutangaze nia zetu Tuache sasa kulia, tutetee nchi yetu Wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mombasa ni mji mkongwe wa Afrika ya mashariki wenye sifa na tarekhe ndefu mno. Mji wenyewe ni kisiwa kilichozungukwa na maji pande zote ambacho kina mikondo miwili ya bahari. Mkondo wa kwanza ni...
10 Reactions
62 Replies
35K Views
Naomba kujuzwa maana ya haya maneno na tofauti zake. 1.kujua 2.kufahamu 3.kutambua 4.kuelewa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana JF Naomba kujuzwa matumizi sahihi ya haya maneno bahati mbaya au bahati nzuri. kuna wakati mwingine watu huyatumia kwa wakati mmoja. je ni sahihi? karibuni
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Ukimsalimia mtu hello anajibu hi, ukimwambia hi anajibu hello. maana yake nini watalaam english
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mara nyingi nawaskia watangazaji wa Tv au Radio wanapomaliza kipindi au kuaga wakitamka maneno haya (alamsick), sina uhakika wa spelling zake. Nini maana yake? Na spelling zake ziko vipi?
0 Reactions
12 Replies
17K Views
Heshima mbele wakuu, nahitaji kujua maneno yafuatayo yanaitwaje kwa lugha ya kiingereza. 1. KINU 2. MWIKO ( UPAWA )...( Sio mwiko " taboo ") 3. Mwinchi.. NATANGULIZA...
0 Reactions
9 Replies
25K Views
ndugu zangu napenda kujua maana ya maneno yafuatayo kwa lugha ya kiingereza"magari yanapishana"
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Neno YAMEJUZU lina maana gani???
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kuna ulazima wa wasanii we tz utumia lugha za kigeni km English ili kufikisha mziki wetu level za juu?
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Tunajifunza nini katika methali hii? My take;- Tuijadili!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom