Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
"Kumumunyisha" hli neno lina mana gan
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanaJf, Naomba mnijuze maana sahihi ya neno "uroho" kwani nimewasikia wanasiasa wakilitumia mara kadhaa hususani katika nchi za Kiafrika. Kadiri siku zinavyopita kuelekea uchaguzi napata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari zenu wana jamvi!mwenye kufahamu maana yamsemo " Leave For Nothing Die for Something" naomba ufafanuzi
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mtu anayeshona na kutengeneza nguo anaitwa fundi cherehani, je, anayekarabati cherehani pindi iharibikapo tumwiteje? Fundi nguo au?
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Waswahili wanatumia huu msemo, mimi niwaachie ndugu wenzangu wa jamii forum mnipe maana sahihi ya msemo huu na wakati tulionao sasa Naomba kuwasilisha.....!
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Naomba kujuzwa maana ya hilo neno maanq mara nyingi nimekuwa nkisikia kuwa mtu fulani anataka "kuadopt" mtoto
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Kipi kiswahili sahihi kati ya kusema dawa ya meno au dawa ya mswaki? Kama ni dawa ya mswaki kwani mswaki unaumwa nini ? Kama ni dawa ya meno kwa nini ukienda hospitali ukiwa unaumwa meno hupewi...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Wadau Nasihi Mnisaidie
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Katika utoaji wa taarifa ipi iko sahihi kati ya; 1. Simu yangu imeibiwa 2. Simu yangu imeibwa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni vitu gani vya kuzingatia katika utunzi wa mashairi? 1. Shairi sharti liwe na vina na mizani 2. Liwe na urari 3. Liimbike, ndo utamu huo 4. Liwe na ujumbe 5. Liwe na kicha cha shairi 6...
0 Reactions
7 Replies
40K Views
Umofia kwenu wana JF, Ukifungua redio hizi zetu yani kila mtangazaji akiongea neno moja la pili basi ni Amazing. Utasikia "Leo kuna kimvua flan hiv na kibaridi amazing", au "Wimbo wako nimeuelewa...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Ninapata shida kwenye kujua matumizi ya hilo nano hapo juu "tia fora". Neno hili naamini linatumika kuelezea ufanyikaji wa kitu kupita kiasi/kupiliza. Tatizo langu ni moja hapa...
0 Reactions
10 Replies
37K Views
Kumekuwa na hoja nyingi za baadhi ya wadau wa kiswahili kuishawishi serikali kufuta kiingereza iwe lugha ya kufundishia hadi VYUO VIKUU na ibaki lama lugha ya kawaida kwa madai kuwa mtu anaelewa...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
Matumizi sahihi ya maneno skip na spare
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia Wanasema 'wakati kikomo'. Je tafsiri ya hilo neno DEADLINE kwa neno moja la Kiswahili itakuaje?.
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Natumaini mko poa wote nawapenda sana. Kuna swali hili linanitatiza kidogo najua jukwaa la elimu lipo lakini watu hawapiti sana kule mimi ni mmojawapo ndio maana nimeleta hapa. Naomba msaada wa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba msaada kwa tafsiri from swahili to english ya hivi vitu ili iliweze kuvitafuta madukani. 1. Pili pili manga 2. Kalafuu 3. Hiliki Nashukuru kwa msaada wenu.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada kama unafahamu,nikipata na ufafanuzi nitashukuru. Wenu N'yadikwa
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Habari wana jamvi, naomba nisaidiwe maneno haya mawili yanavyotaitwa kwa kiingereza au kwa majina ya kibaologia 1. Mibono 2.Minyonyo Natanguliza shukrani zangu za dhati...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Forever is a word we use to dream, we think It will never end, It will always be the same, but the act of forever in and of itself disallows forever to actually exist
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom