Napata tabu sana ninapoongea na wakenya, haswa wale ninaojua wana elimu hadi ya Chuo kikuu au kidato cha nne. Lakini hawajui lugha kabisaaa,
Unasikia SASA? Anamaanisha salaam, au Au unamwambia...
1.
Masaa kumi na mbili, toka jua la utosi,
Tena upate kandili, sidhani utusitusi,
Kiza chake si kalili, nyakati za wasiwasi,
Chukua udhu uswali, kwa mola wako Qudusi.
Usiku wa manane, ni...
Nilikuwa na mwingereza akanitaka nimtafisirie hilo neno, nilipata taabu sana:
- Here Jobs Only...... hakuelewa
- Here Works Only ....... hili nalo halikuwa na maana iliyokusudiwa
Tafsiri sahihi...
Naomba kwa mwenye kujua, anisaidie. Maziwa fresh kwa neno moja la kiswahili huitwaje? Mfano, maziwa ya mgando ni mtindi. Je yale ambayo hayajagandishwa je?
Wanajamii Salaam!!
Ninatafuta kitabu kinachoelezea sifa mbalimbali za wanyama, ndege na reptilia pamoja na picha za viumbe hao.
Mfano. Sisi wakati tunakua mzee wetu alikuwa na kamusi ya...
IKULU PANA MNYAMA, SURA KAMA MWANANGU.
Nasema nawe kibabu, rafiki yake kileje,
Huwezi wajipa tabu, sijui hata ukoje?
Kwa chai takuadhibu, siulize nawezaje,
Jamii yako ya boflo, chai ni chako...
1.
Makabwela na wakwasi, tuchunge tulipotoka,
Mimi naona utwesi, nachelea kuanguka,
Hashituki kwa unyasi, aso gongwa na nyoka,
Yu wapi Rais Kikwete, zi wapi ahadi zake.
2.
Siku zimeenda...
ivi wadau ajira zake zina mashiko hapa tanzania. nataka kuwa mkaliman nimeapply course moja ya language chuo flan hapa bongo. mnanishauri vip ndugu zanguni.
nisome au nipiotezee kama ntaipata...
Ni sehemu ya mfululizo wa mashairi ya IDD NINGA, fuatilia shairi hili na toa maoni yako.
JINA LA SHAIRI: Nampenda Kuku Wangu.
MTUNZI:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
Simu: 0755519736
Kuku ndie...
1>ya kale siyo ya sasa,dunia ya tetereka.
Inayotisha mikasa,ulimwengu weweseka.
Imeshamezwa na kasa,mdogo kuliko paka.
Hasira za mbingu kali,zaangamiza dunia.
2>yaangamia dunia,wenyewe...
Neno limekuwa neno, kiziwi kalisikia,
Neno liwe la mfano, tupate kujifunzia,
Neno lisiwe ndoano, kooni likanasia,
Kuna neno na maneno, kuna neno lenye meno.
Kuna maneno machungu, kiasi bubu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.