Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nawasalimu wadau. Ningependa kujuzwa kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua asili ya neno hili MSHUA/ M-SURE kama linavyotumika kumaanisha baba
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Its urgent please! Naomba anayejua anisaidie wakuu!
0 Reactions
25 Replies
25K Views
Mimi huwa naangalia movies za kiingereza, nasoma viji stories vidogo vidogo, nasoma novels halafu pale nnapokuwa peke yangu nakuwa nasoma kwa sauti ili kuangalia tonation yangu ipoje. Kwa kweli...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
'OSOTUA NGEJUK' 'AGANO JIPYA' KWA LUGHA YA KIMAASAI Unaweza kudownload / kupakua 'Osotua Ngejuk' kupitia link hapo chini: OSOTUA NGEJUK |...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nimekutana na watu kama sikosei hawapungui 20 mpaka sasa waliokwishapiga kura mpaka muda huu..Neno 'NIMESHACHINJA TAYARI' Limetawala vinywani mwao. Je,neno hili lina maana ya moja kwa moja...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Naomba kujua maana ya jina Jonathan
0 Reactions
1 Replies
7K Views
1>peku peku kutembea,mwiba waweza kuchoma. Na domo lenye umbea,la tetemeka kwa homa. Waloanza kulegea,sindano tumewachoma. Ukishindwa la mkono,la mguu hutoweza. 2>usiku ule wa giza,mwenyewe...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Ni ipo lahaja ya kiswahili iliyo sahihi kuliko zote?
0 Reactions
7 Replies
20K Views
O What Is That Sound O what is that sound which so thrills the ear Down in the valley drumming, drumming? Only the scarlet soldiers, dear, The soldiers coming. O what is that...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
IFUATAYO NI SEHEMU NYINGINE YA SHAIRI LILOANDIKWA NA IDD NINGA. INGAWA MAUDHUI YA SHAIRI HILI YAMEJIFICHA LAKINI NI MARAHISI KUYAELEWA 1>ni majanga na balaa,nyoka anajibabua. Kwa ndugu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dennis Brutus I MUST SPEAK I must speak [this is my desire] in the channels of your ear in your silent moments, or when your heart answers and, seeking words, hears echoes...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
In this country In this air Where these trees grow Where clear air flows Before, behind, above And through the throat Flows a cool and crystal stream To where the milk white domes In...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
I have an assignment in Dar es Salaam, so I might be there for a couple years. I need to learn some basic Swahili. Anybody want to help? Like, how to say: I'm hungry. I need gas. I want to go...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninaishi kijijini na kwa kuwa napenda sana utani na masihara, vijana wengi waliomaliza shule (sekondari) hunitembelea nyumbani kwa stori mbili tatu. Katika mazungumzo lugha ya kiingereza...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Ningependa kufundishwa tofauti ya terms zifuatazo kama zinavyotumika katika topic ya Word Formation.. 1. Stem 2. Base
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Kwa sisi ambao hatukupata bahati ya kusoma kutokana na sababu mbalimbali hususani kule kutokea kwenye familia masikini lakini kwa kudra za mwenyezi mungu tukijikuta tuko kwenye biashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1>laana itaposhuka,nani ataebakia. Tutaja kumbuka shuka,saa nyumba yaungua. Wao wameshazinduka,wapi pakukimbilia. Wangu wosia wa mwisho,kura siyo uadui. 2>ukishindwa we ridhika,tena pembeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kusema binti/mwanamke mzuri kwa Kimaasai n.a. Kisukuma. Pia Jinsi ya kusema save the earth in Maasai
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukienda Zanzibari usijekushangaa kusikia tafsiri ya maneno yafuatayo, ukipanda Chai Maharage na ukisikia Konda anatamka 'kiporo' jua ni kifurushi kidogo cha abiria, kifurushi cha unga, mchele...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana JF, Ningependa kuuliza ikiwa ni Kiswahili sahihi pale ambapo Mheshimiwa Rais na Waheshimiwa Majaji wanaitwa Watukufu. Binafsi, na hasa katika misingi ya ibada, ninaona kama utukufu ni sifa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom