Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naomba kujuzwa maana ya usemi , SOTEA GOMBA. Karibu kwa majadiliano
0 Reactions
3 Replies
4K Views
1>kila mmoja anajua,shida tulizozipata. Tuliunguzwa na jua,tukafanywa si mabata. Tena tusijeungua,na misiba tukapata. Kumi kumi iwe vyema,mabadiliko ni sasa. 2>hutakiwi hutakiwi,mbona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Wajua mimi sijambo, namshukuru manani, Nimeamka kitambo, shafika kibaruani, Ila kuna kubwa jambo, kuuliza natamani, Hivi nyie hamjambo? Mliopo kisimani. Waafrika tuna mambo, nawambia si...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natoa pongezi kwa tasnia ya taarab kwa kutumia kiswahili fasaha na vizur,na inavyotakiwa kwenye muziki wao hongereni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam nakuta posta ya Tanzania imeanzisha mfumo wa kuipa kila kata na kijiji namba fulani inayoitwa "Post Code" au "Postal Code" kwa Kiingereza. (tazama hapa...
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Fafanu chimbuko na asili ya lugha ya kiswahili na eleza kwa mf;Kabla ya kuja kwa wageni katika upwa wa afrika mashariki ni lugha gani ilikua ikitumika enzi hizo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii muhimu
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Napenda sana kazi udirector wa matangazo. Lakini nashangaa kuna wakurugenzi wengine wanachekesha sana. Hivi unaachaje tangazo linaruka redioni au kwenye TV mtu anatamka Lais badala ya Rais, au...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Caged Bird The free bird leaps on the back of the wind and floats downstream till the current ends and dips his wings in the orange sun rays and dares to claim the sky. But a bird that...
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Naomba kujua opposite ya maneno yafuatayo Judge Detective Lawyer Gamekeeper Author Weep
0 Reactions
0 Replies
781 Views
1>upo mwingi usafiri,ila huu ni hatari. Hatari si kama gari,lipasukapo tairi. Nawaza naufikiri,sitopanda kwa hiyari. Namwaza huyu farasi,siku nikija mpanda. 2>na ulimi ulikiri,kiri imani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
MWANANGU SITAKABARI 1. Mwanangu ewe mwanangu, leo nataka kulonga Kila jambo lina Mungu, heri na shari hupanga, Tamu ligeuke chungu, asali iwe pakanga, Dunia hino dunia, mwanangu sitakabari...
2 Reactions
2 Replies
841 Views
Hii ni sehemu ya shairi lililoandikwa na Idd Ninga ,shairi linaitwa UTABIRI KUTIMIA 1>picha imeshadhihiri,mwisho wao umefika. Utatimu utabiri,ule niliouweka. Yote niliobashiri,yaonekana...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Naomba kujua maana ya neno "kutabaruku"
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Jamani haya maneno mawili yananitatiza sana naombeni tusaidizane tofauti iliyopo kati ya mapenzi na mahaba.
0 Reactions
4 Replies
48K Views
1>rangi yako ya waridi,nzuri kama samawati. Nikahisi ni zawadi,ilojawa na swifati. Kumbe siyo maridadi,wewe kama afiriti. Ua hili ua gani,kila mtu alichuma. 2>vijana hadi watoto,wanapenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
-----kufuli----- =nyumbani alipofika,mke wangu kamusia. Kwa maneno ya hakika,baba akamuambia. Mumeo atapofika,usiache mgusia. Kufuli abadilishe,nyumba ije kupendeza. =mke nae...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
10,001 Naomba mnisaidie kuweka hii namba katika maandishi(kwa kiswahili)
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Kweli muheshimiwa Lowassa hakukosea, hebu oneni hili tangazo la Fast Jet hapa chini.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni kweli kwamba sintaksia finyizi imekubalika na wataalam wengi kama nadharia ya ya lugha yenye uwekevu zaidi na bado inaendeleza malengo ya sarufi zalishi. Malengo haya ni kuandaa sarufi bia ya...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Back
Top Bottom