Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Maana ya hilo neno kwa kiswahili tafadhali...nimetafuta kwaenye english to English dictionary nikashindwa kupata maana ya moja kwa moja kwa lugha ya kiswahili
0 Reactions
3 Replies
5K Views
NAOMBA KUJUA maana ya Nsungumazi kwa kiswahili,na Baraka kwa Kinyamwezi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Jamani naomba tofauti ya neno dondoka na anguka 2. Pia naomba tofauti ya neno lala na sinzia
0 Reactions
2 Replies
3K Views
CUTE SAYINGS AND PROVERBS 1. “To a hammer, everything looks like a nail.” Similarly, every barber thinks you need a haircut, every car dealer thinks you need a car, and every PR agent...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Niko kwenye maandalizi ya project ya kwenda kufundisha wakulima mkoani Lindi juu ya kuongeza thamani ya mazao yao. Nimeanza kuandaa teaching guide toka kwenye kitabu kimoja cha kiingereza cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu wa lugha ya kifaransa na pia translator / interpretor wa frech language to english and swahili natafutakazi at ya part time please assist dear friends jp
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Wadau nimetatizwa na swali jepesi nadhani nimesahau ama sikuwahi kufahamu Hivi hizi rangi kama Pink; Blue. Silver, Peach, Gray, na nyinginezo zinaitwaje kwa kiswahili? Niondoleeni aibu...
1 Reactions
51 Replies
116K Views
Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi. Nimekuwa...
4 Reactions
71 Replies
18K Views
1:mtu yeyote atakayemwona mtoto HUYO atoe taarifa polisi 2:mtu yeyote atakaemuona mtoto HUYU atoe taarifa polisi nawasilisha
0 Reactions
16 Replies
4K Views
1. Kwa jina naitwa Mishi, binti mwenye heshima, Mwenzenu ni mtumishi, nipo ofisi ya umma, Kama hiyo haitoshi, mwanamke wa kujituma, Penzi halina kanuni, chunga usije kosea. 2. Nina gari...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
NAOMBa KUTAMBUA UWEPO WA WANACHAWAKAMA HUMU, HASA WA UDSM.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko ya maisha ndugu zangu wana JF? Tangu hili neno lisemwe kumekuwa na mengi.Naomba kujua maana ya neno lofa na asili yake ni wapi maana nilipokuwa mdogo nililisikia sana na...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Habari zenu? Kulingana na ufahamu wa kila moja wenu, nipeni tofauti za maneno haya- "mungu" na "Mungu"
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Wana JF Hola!! Nimekua nashindwa kutofautisha maneno haya, pengine kuyatumia bila itifaki. 1. Kunyang'anya Vs kupokonya 2.kung'ata Vs kuuma like kuumwa na mbu 3. Kupora Vs kukwapua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa mfano kampuni inakupa muda wa miezi 6 kukuangalia kabla ya kukuajili
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kujua kwa kiingereza neno kipepsi (kiwiko). Hatimaye unisaidie kuunganisha sentesi hii kwa kiingeleza "Joni alimpiga kipepsi Danny"
0 Reactions
13 Replies
5K Views
JF cute members Hola!!! ¿Còmo estas? Please help me out, can anyone amongst you tell me what exactly, below Nigerian proverb depict in our societies? "he who went to sleep with an...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Naomba maana za haya maneno "yechu" "yechu" na "kwa fasi duasi" Nimekuwa nikiyasikia kitaa na kwenye Radio stations!!
0 Reactions
22 Replies
11K Views
The Definitions of "Upstream" and "Downstream" in the Production Process by Brian Bass, Demand Media "Upstream" and "downstream" are business terms applicable to the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wadau wa lugha, kuna hili swala la illegal immigrants kuitwa wahamiaji haramu kwa lugha ya Kiswahili. Nadhani kinyume cha haram ni halali. Kwahiyo dhana ya kuwaita watu hawa haramu ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom