Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
THIBIBISHA KAULI HII KWA KUTOA SABABU IMARA SITA"waandishi wa kazi za fasihi huandika kwa kuzingatia mambo ya kwenye jamii zao lakni huwa zina ingiliana tu"THIBITISHA USEMI HUU KWA KUTOA POINTI...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nini Tafsiri Ya Neno SHIKAMO ? Kwa Kingereza"
0 Reactions
3 Replies
3K Views
male teachers are better than female teachers.propose/oppose
0 Reactions
1 Replies
949 Views
-S1mba Nakuhitaji rafiki, Ulienifaa kwa dhiki, Nasema bila unafiki, Safari bado hata kesho hatufiki, Nilikuhitaji ili kusema, Kukosoa au sifia mema, Kuandika na watu kusoma, Bila wewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar ndugu wana jamii? Kama kichwa cha habar kinavyoelekeza hapo juu, kam kuna mtu atakuwa anataka kujifunza kihispania kwa bei nafuu kabisaa kwa siku ambayo ni elfu 15 pekee, ani pm!! Ahsanteni
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Katika maisha yangu, nimekuwa taabani , Kwenye huu mti wangu, ukiwapo mashakani, Kila penye jua chungu, hujikalia pembeni, Ni maisha yangu jani, katu hutoyatamani, Kwangu sithaminiki, nafuu...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Za Jumapili wana JF wote, Nimefatilia sana haya maneno kwa baadhi ya watu mbali mbali na nikagundua watu wanajichanganya sana katika kuyatumia. ✔Salon ni sehemu ambayo unaweza ukapata...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
when I born, I black when I grow up, I black when I go in sun, I black when I scared, I black when I sick, I black when I die, I still black and you white fellow when you born, you pink...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have studied in Kenya from Kindergaten to Tertiary level and I have lived in TZ long enough to grasp both English and Kiswahili just to clear your doubt on my ability and capability. CALL 0713881242
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana forum najua hapa kuna wataalamu wa lugha. naomba mnifundishe.. ikiwa kaka yangu akioa mke . mimi nitasema KAKA YANGU ANA MKE sasa KAKA ZANGU WAKIOA NITASEMA KAKA ZANGU...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
?Africa?s Plea? By Roland Tombekai Dempster I am not you ? but you will not give me a chance will not let me be me ?If I were you? ? but you know I am not you, yet you will not let me be...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swahili Basics Swahili is one of the easiest languages to learn. Here are a few basic things to know about Swahili: Swahili verbs always carry with them the subject (and sometimes...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu! Kwa wale eanaojua kipimbwe, lugha inayozungumzwa wilaya ya Mpanda sehem iitwayo Mpimbwe atokako Mizengo Pinda. Ninataka kukusanya msamiati wa vyakula vya aina zote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia hand out ya ndugu yangu anasoma chuo Diploma nimekutana na hii sentensi nikaona haipo vizuri sana kimatamshi na ikaleta ubishi kidogo. "Are commodities that satisfy our wants...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Msaada. Naomba tafasiri ya neno "kaya masikini" Na vigezo gani hutumika kuamua kuwa kaya hii ni masikini?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
LEO NAVUNJA KIBUBU! 1 Leo navunja kibubu, pesa ninunue khanga, Apendeze mahabubu, kama binti wa kitanga Atokapo awe bubu, washindwe wano jigonga Mniache nayajenga, mkome kunita zoba. 2 Sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1)nilitembea porini,nilipo kwenda kuwinda,kwenye mbuga yenye nyoka. Moyoni ninaamini,hakuna cha kunishinda,nnge swala pia nyoka. Podo yangu mgongoni,na mshale ulopinda,haraka nikashituka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
)Mkonini nashika chaki,utao nauandika. Siyo kama mi sitaki,mloto unasomeka. Na vaa vazi la kaki,ukwapi unazinduka. Mtamu usi na dhiki,kama pindu kaumbika. Darasa la mafahali,makomando...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kama neno "mwanaume" ni la kiswahili na kwanini neno pacha "mwanauke" halitumiki sambamba nalo?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Naomba kuuliza kama neno "mwanaume" ni la kiswahili na hutumika wakati gani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom