Amani iwe juu yenu wapendwa wote. mwaka 2016 unahitajika kuwa mwaka wa mabadiliko katika fani ya ushairi Tanzania na Afrika ya mashariki kiujumla.
mabadiliko hayo yanakuwa katika
vipengele...
Hapo zamani za kale, kale ile ya umilele. Kale iliyozama hata isitambulike ilipoanza wala kuisha. Haswaa ni kale ya zama za enzi na enzi. Hapo kale basi, palikuwa naye neno, asijulikane alipoanza...
kuna msemo umeenea sana siku hizi utasikia "chandarua chenye dawa" Je hii ni sahihi?mimi kwa ufahamu wangu finyu nilidhani neno sahihi ni "chandarua yenye dawa"naomba mchango kwa wataalam wa lugha...
When you hear someone using grammar incorrectly, do you make an assumption about his or her intelligence or education?
There's no doubt that words are powerful things that can leave a lasting...
When I observe young people passing elders in the street I notice they great them with what sounds like "Ma-La" when greeting Mamas and "Ba-La" when greeting Babas.
I was once told it's a show of...
Lugha ndiyo nyenzo muhimu popote pale duniani kujipatia maendeleo.Hakuna nchi duniani imeendelea kwa lugha ya mwenzake
Niajabu kumkuta mswahili akichanganya kiswahili na kingereza au mswali ndani...
1)walikuwa na amani,kabla wao kuingia.
Wakisali mjengoni,chuki wakiuchukia.
Ila wale mashetani,chuki wakawapandia.
Ukaota na vichwa,huku wakiitambua.
Wakimbizi wangamia,kwenya bahari ya kifo...
WASHAIRI TUSILALE.
Sanaa ya ushairi ni sanaa ya kale sana na pia ni sanaa inayodumu kwa miaka mingi na pia ni sanaa inayoafanya marika yote bila ya kuleta athari kwa rika lingine na bado marika...
Heshima mbele wakuu,
Naomba tu kupata ufafanuzi na maana ya maneno Ugumba na Tasa, je maneno haya yana maana moja au ni tofauti kwani nimekuwa napata taabu katika matumizi yake. Sielewi wakati...
1. Alipewa mwanadamu,mnyama zake
ni pungufu.
Toka zama zama damu,zama zisizo
na harufu.
Wote twende zamu zamu,ndivyo ataka
raufu.
Nguvu mwisho wa akili,wajinga
hawatambui.
2. Ngumi yako...
1)kwa tofauti kuona,kufikiri ni maono.
Siyo ya kakakuona,kwenye mila malumbano.
Ama macho yenye kona,yasiyo na shirikiano.
Ukidhani vile hivi,sivyo ndivyo udhanivyo.
2)jiti kavu japo fimbo,hata...
MAVI YA MBUZI.
1.
Nilidhani ni karanga, kumbe ni mavi ya mbuzi,
Sikudhani ni pakanga, katika wangu mchuzi,
Kuamini mtu janga, jiandae na mauzi.
Kuna mambo ya kuchunga, wakati wa maamuzi...
KARIBU JAGINA KARIBU.
1
Karibu ndugu karibu, jisikie u nyumbani,
Keti upate kababu, toa shaka mtimani,
Umepewa taratibu, soma ziweke kitwani.
Jagina karibu ndani, karibu ufanye yako.
2
Jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.