MBUZI ISOKUNA NAZI?
Macho puu yanitoka, nimepigwa na butwaa,
Na taya limedondoka, nimebaki kushangaa,
Moyo umenishituka, pumzi imenipaa,
Mbuzi isokuna nazi, ni bora kuiachiya!
Jikoni...
Chiriku wako ni wako, popote pale alipo,
Popote huko aliko, mawazoni kwake upo,
Ndege huyo ni wa kwako, Chiriku wa kwako yupo,
Chiriku yuko tunduni, mbona wewe humuoni?
Ni wewe ulimpata...
jamanieee, hivi tuseme kuwa, kiswahili halisi na cha kufuatwa kama ndo mfano wa kiswahili halisi na kizuri ni cha wapi? mfano, nikianza kama nchi, ukienda kenya, kiswahili chao kimegonjwa, ukienda...
Tunafundisha lugha ya kichina na kifaransa kwa bei nafuu sana.
Jua kuwasiliana kwa kichina ili uweze kuwa na biashara nzuri na wageni hasa wachina wanaokuka kwa wingi Tanzania.
Piga 0684 085...
1>kwanza iandae kucha,usinyonge unyayoni.
Mchana usiku kucha,zitazame vidoleni.
Na vaa vazi la bucha,kwa nje siyo moyoni.
Fusho vundo la kuzimu,lifukize kwa mashuke.
2>baraza...
Husika Na kichwa cha habari hapo juu,nataka kujifunza lugha tofauti Ili niwe mkalimani,kuhusu uhitajika wa wakalimani ktk soko la kazi Hilo sina uhakika nalo ila nikijua hizi lugha nitafurahi...
Hi to every body....!!
Katika harakati za maisha ya kila siku migogoro mingi inayotokea huwa inasababishwa na ujumbe unaopatikana kwenye hii statement.."the desire to cheat and the refusal to...
Salamu wana JF.
Naafahamu neon fund humaanisha Fedha kwa Kiswahili, lakini kuna wakati huwa linamaanisha Mfuko au Fuko (hapa nashindwa kuelewa ni lipi neno muafaka maana kwa mfano IMF huwa kuna...
Kuna siku nilifungua tv nikakutana na wimbo wenye mahadhi ya nyimbo za kienyeji ukiimbwa na dada mmoja mwenyeji wa mkoa wa kagera. Wimbo ulipoisha, mtangazaji akasema:Wapendwa watazamaji, huyo...
Naamini tumekuwa tukijiuliza hili swali na baadhi kupotezea.
>>>>>
Hili ni moja ya jibu nililokutana nalo;
Although English is gender neutral and has no feminine and masculine distinctions...
Wadau naomba kujuzwa maana sahihi ya neno 'kughushi'. Endapo mtu alitumia cheti cha mtu mwingine kuingia sekondari na akasoma mwenyewe hadi chuo kikuu atakuwa ameghushi? Kama ndiyo mnasemaje kwa...
Wakati mwingine nikisoma maandiko mbali mbali huwa najiuliza ule usanifu wa Lugha waliokuwa nao mababu zetu na wale manju waliosifika zamani umekwenda wapi? Hata nyimbo zinazotungwa siku hizi zina...
Najua kuna huu mfumo wa STAKABADHI GHALANI kwa wakulima wa mazao ya kibiashara.
Mie mwenzenu ninapitwa na mengi basi naomba anaeufahamu huu mfumo anijuze.
Tafadhali tumia lugha rahisi ya...
Napenda kujua maana halisi ya hili neno #period unakuta mtu anaongea au anachangia mada hasa kidhungu then anamalizia na neno #period napenda kujua huwa linamaanisha nini hasa,,,kuuliza sio ujinga
1)hakuna tena umimi,kwenye dunia ya sasa.
Umoja ndio ukumi,kwa kizazi cha kisasa.
Kila wa roho ya ami,atajaliwa na kasa.
Ataponzwa na ulimi,kwa kutamani lumbesa.
Kama wewe ndio mimi,basi mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.