Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
(Ntwala kuchele valongo vangu) nnamilume na vamahe vohevohe tukojane epa tukamasane, nguhalile mwakau uidile dachi! nangu nive kuarusha,nnyangu uve kwachi? madengo lachidachi mwakau uniwena...
0 Reactions
88 Replies
13K Views
mambo zenu wakuu: samahan kwa mnaofahamu,napenda kujulishwa kwamba: je; kiswahili ni cha ngapi katika lugha za kimataifa?; na je, inawatumiaji wanaokadiliwa kufikia wangapi duniani? pia maeneo...
1 Reactions
5 Replies
19K Views
Salamu kwenu wadau! Leo nilikuwepo sehemu fulani nikakuta watu(wanafunzi) wanafanya mashindano ya kiingereza. Sasa kuna sehemu ya kutafsiri kwa kiingereza hizi sentensi za kiswahili. Mimi...
0 Reactions
51 Replies
24K Views
msaada wakuu,1.semantiki ni nini?2.fafanua vipengele vya semantiki kwa kutoa mifano
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Salaam Wakuu! Uwa najiuliza, ni sababu ipi ya msingi inayofanya Wabongo kulazimisha majina yao ya Kibongo kubeba 'double consonant' kama ilivyo ktk majina ya Kizungu? Kadri ninavyo fahamu...
1 Reactions
71 Replies
10K Views
Kwa maana sasahivi jina utukufu limekuwa ndiyo kichaka cha ccm kifichia maovu yake na kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwa heshima naomba tuchambue jina UTUKUFU, TUKUFU,na maana yake.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
jaman wanajamvi habari zenu? naomba kuuliza ivi kwa kawaida pipi ikiwa kinywani kwa kiswahili sanifu inakuwa inafanywaje? au mtu anakuwa inaifanyaje?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
BAKITA, hivi kwanini mmelala hivyo. Kiswahili kinachafuliwa sana. Kiswahili fasaha ni Jina lako nani?. Sio Majina yako nani?. Ukiulizwa jina lako nani, hapo utayataja yote hatakama yanafika kumi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa maana ya jina Tibaijuka kwa ndugu zangu wahaya. Nikijaribu kufanya direct translation naona kama ni "mtanikumbuka" ;kama ni kweli hiyo ndio maana yake, tutamkumbuka kwa lipi huyu...
0 Reactions
38 Replies
13K Views
wanajamvi habari? naomba kujua matumizi sahihi ya maneno mno na sana kwa sababu nimekuwa nikipata shida je kila neno ni mbadala wa lenzake au la! mf:amekula sana au amekula mno kipi ni kiswahili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
haya maneno bado ni ntihano kwangu Kuwa na kua Huwa na hua
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Neno Obsession ni la kiingereza kwa kiswahili lina tafsiri ipi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Utunzi huu ulikikuwa maalumu kwa kidato cha nne shule ya sekondari Mtombozi iliyoko mkoani Morogoro. nimejaribu kufuata nyayo za Mabala Richard, sina hakika kama nimeweza kufata nyayo zake, majaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
kuna tofauti?
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Kuna tangazo linarudiwarudiwa sana kwenye kituo cha televisheni ya star (startv).Tangazo linahusu ubora wa king'amuzi cha continental. Anayekisifia king'amuzi hiki anatoa maneno mengi ya sifa huku...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu haya maneno yana tofauti gani?na lipi ni sahihi kutumika?
0 Reactions
7 Replies
39K Views
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SEHEMU YA KWANZA Masimulizi ni zaidi ya tafakari.Sikushangazwa kwani hata michirizi ni zaidi ya mistari iliyonyooshwa kwa rula na mjuvi wa taaluma ya uchoraji kwani hutumia ustadi wa hali ya juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ILIYO SHEHENI MAUDHUI YA KUFUNZA YA KUTOSHA, UZUNI., VICHEKESHO NA HISIA ZILIZOBEBWA NA WAUSIKA MBALIMBALI AKIWEMO MR.CHEICHEI MWANADADA CPRO, DR. LADYA NA WENGINE WENGI. HII NI SEHEMU NDOGO YA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf ,tusaidiane kazi ya modal auxiliary verb.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom