"Polisi alimuua mwizi nyumbani kwake" au kwa kiingereza "Policeman killed a thief in his house"
Je mwizi aliuwawa nyumbani kwa polisi au nyumbani kwake yeye mwenyewe?
PRONOUNS (VIWAKILISHI)
Pronoun ni neno linalotumika badala ya noun (jina). Kwa maneno mengine ni neno linalowakilisha noun (jina).
Pronouns zipo za aina nyingi kama zifuatazo;
PERSONAL PRONOUNS...
Habari
Kama ningeriweza kuandika kikurya basi mwanzo hadi mwisho ningeongea Lugha ya kure kwetu nchini(kanda maarum)
Ila hili jambo ndo hasa rimenifanya niandike uzi huu.
Wengine hatuku...
Kuna maneno mengine yana maana nzuri ktk lugha nyingine, lakini mtu mwingne akisikia neno hilo hupotosha kabisa na muda mwingne kuwa tusi; mfano, ---- radi(Japan), kwa kiswahili ni potofu, Kinu...
kwanini umtumie x badala ya s, mtu anaandika xaxa akimaanisha sasa.
s badala ya th, eti nimeasirika badala ya nimeathirika.
jamani tutumie herufi sahihi, mnaboa
The website MoveHub.com is a resource for people looking to move abroad.
They've released this eye-opening infographic that shows the second language of every region across the globe. Some are...
Habari za Jumapili wana jukwaa, kuna dogo kaniuliza hili swali nimebaki naachama tu mdomo.
Naomba mnijuze matongotongo kwa kiingereza yanaitwaje.
Wasalaam
CL
Hivi maana halisi ya ujinga ni nini. Viashiria vya ujinga ni vipi ? Mtu anaweza kuitwa mjinga kuanzia umri gani? Mtoto mdogo anaweza kuitwa mjinga?....
Habari zenu ndugu zangu. kuwekua na matumizi makubwa sana ya neno NDIO na NDIYO hapa mjini hata humu jf pia, ningependa kujua kama kamusi inatambua neno NDIO au NDIYO.. pia hata neno "Ndiye"...
nimekuwa nikipenda kutumia kiswahili sana kwenye simu hasa katika miongozo mbalimbali katika simu, katika hali ya kustaajabisha, hasa pale ninapochagua lugha, ni dhahiri kuwa lugha ni utambulisho...
Nimeona kwenye vyombo vya habari kwamba jana ilikua ni 'siku ya kuzaliwa' ya Mh JK....Hongera Mh.
Nauliza swali ikiwa nilizaliwa siku ya Jumanne na tarehe ya kuzaliwa ikaangukia Jumamosi, hapo...
Sasa hivi kuna wanataaluma wabovu mno karibu katika kila fani:
Waalimu wabovu
Madaktari wabovu
Wahasibu wabovu
Watafiti wabovu
Na komesha ni waandishi wa habari - hawa ndo naona hata shule...