KWA UFUPI
Dini: Dini ilichangia ueneaji wa lugha ya Kiswahili kupitia mawaidha na mafunzo ya madrasa. Waarabu walipokuja walitaka kueneza dini ya Kiislamu katika maeneo waliyofikia.
Katika...
Naomba mnisaidie niweze kukipata Kitabu hiki cha riwaya ya Kiswahili kiitwacho ASALI CHUNGU kilichoandikwa na Prof. Said A. Mohamed.
Niliwahi kuwa nacho lakini nilimwazima mtu na hakunirudishia...
Hiki kisa kinakuja, Ukae chini tulia,
Ni cha Sungura mmoja, hapa nawasimulia,
Ilikuwa siku moja, njaa imemshikia,
Njaa imemshikia, Sungura nawaambia!
Ni Sungura yule yule, aliyezizira ndizi!
Ni...
Inapotokea inawekwa mada ya Kiingereza humu kwenye majukwaa, basi inasusiwa kama Bunge la katiba na UKAWA! Mada hiyo hiyo ikiwekwa kwa lugha ya Kiswahili, basi watu wataichangamkia kama posho...
Wanajamii forum nimekuwa nikisumbua kichwa kuhusiana na Uwingi wa neno chupa huku nikikabiliana na maneno mawili ambayo ni VYUPA na neno CHUPA kama uwingi! hivyo naombeni mawazo yenu katika suala...
naomba sana wakuu mwenye kujua maana halisi ya neno kafir anieleze ,kama hujui pita zako ,nimekuwa nikikutanaro sana hasa humu JF lakini kwa bahati mbaya sielewi maana yake
Kwa mda mrefu, nilikuwa nikijua kuwa tunasema "dada yangu." Lakini mda kidogo uliopita, nilikuwa nikitazama runinga ya KBC katika kipindi fulani kinachojihusisha na ukuzaji wa lugha ya Kiswahili...
Those who have a problem of using letters ''l'' and "r" interchangeably they Normally make terrible mistakes in English than it is in KISWAHILI.Let us observe few examples here,
in kiswahili...
WanaJF msaada wa haya maneno ya kingereza yanatumika wakati gani?
" Best regards, Kind regards,
Yours sincerely, "Yours faithfully,".
Thank You, n.k"
"Natanguliza shukurani"
Asanteni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.