Sio siri wakuu kwa sasa kuona viongozi wakubwa serikalini na hata wasomi wakitoa lugha hii hata kwa vitu visivyo na ulazima utasikia "NI JAMBO JEMA". kwakweli ni lugha ama sentesi inayouzi...
Wana bodi,
Nimekutana na hii kule FB, kuna Kundi moja linaitwa "TANURU LA FIKRA" Kwa kweli kwa maoni yangu hili kundi linapaswa kuwa "TANURU LA VILAZA" Maana ukipita katika mawazo ya wana kundi...
Mara nyingi ninaona neno nga kabla ya li, na (tense) , kama vile, ningalikuja .....
tafadhali, unaweza kunieleza nga ni nini? Na nipatie mifano kwa kuandika sentensi nyingi mbali mbali...
Habari zenu wanaJF? Naleta mbele yenu misemo miwili ya kiswahili inayotumika sana siku hizi lakini ni direct translation ya Kiingereza.Misemo hiyo na kiingereza chakei ni kama ifuatavyo:
1.Mwisho...
Wanajf wenzangu poleni na majukumu....Kwa wale wanaofahamu Kiswahili hasa upande wa viambishi, tafadhali naomba mnitajie kazi kumi za viambishi KA na KI.
wakuu poleni na majukumu,
kumekuwa na kauli za watu mbalimbali kuwa, flani anatumia nyota ya flani, mara huyu a
nasafiria nyota ya flani, je nini maana halisi ya hili neno? na je mtu atajuaje...
I needs specific kiSwahili terms for certain monsters and spirits out of Bantu mythology. Often I have the word in one Bantu language, but can't find it in kiSwahili. Examples:
Ogre - a large...
Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
Habarini..!
Najaribu kuandika tangazo lakini naona lugha inanitatiza kidogo, gramma sijui structure wataalam wa Kiingereza wanaita.Tangazo lenyewe ni:
Fundraising
For Facilitating to Conduct...
Za week end?
Huwa napata wakati mgumu pale napotakiwa kumpa pole mfiwa yani huwa naishiwa maneno ya kuongea,sana sana mtamwambia pole na Mungu ampe faraja,ni kawaida?kuna ambao wako kama mimi...
Ramani ya Lugha za Afrika, picha kwa hisani ya Nations Online
Afrika kuna utajiri mkubwa wa Lugha za kusemwa na binadamu, kati ya hizo kubwa kabisa ni Kiswahili, Lingala, Amharic, Yoruba, Zulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.