Habari zenu wandugu? Hili tatizo la baadhi ya watu kuondoa herufi 'h' kwenye maneno linazidi kukua. Kila siku nakutana na maneno haya: ataki badala ya hataki, uyu badala ya huyu, awezi badala ya...
Wakuu hawa wadogo zetu wanakoelekea sio kuzuri.Inahitajika busara za ziada kuwarudisha kwenye mstari.
Hii ni sms ya mdogo wangu wa kike miaka 19 akiniomba msamaha baada ya kurudi akiwa pombe...
Habari WAungwana, Leo Na wapa Siri Chache za Kiswahili.
1. Je Unajua Kua Kiswahili Kina Zaidi Ya Methali 600?
2. Je Unajua Kua Kiswahili kina ZAidi Ya Nahau 350?
3. Je Unajua Kua Kiswahili Kina...
siku zote nimekua sijatafakari vizuri hadi leo niliposikia watu wa salon moja wakibishana kwamba ule msemo ambao mm nimeuzoe kama Akili ni Nywele kila mtu ana zake usahihi wake ni kwamba akili si...
Utakuta uandishi wa jumbe umebadilika sana. Mfano xaxa akimaanisha sasa. Wa2 akimaanisha watu. Hivi uandishi huu unakuza lugha katika uandishi? Nisaidieni hiyo Elimu ya uandishi huu vijana wa...
Watu wa Baraza la Kiswahili la Taifa nakuombeni muweke neno "Ufisadi" kama mbadala ya neno Uhujumu uchumi. Hii inatokana na kutumika kwa kasi kubwa na kuzoeleka midomoni mwa watu wengi hasa...
1.Nakushangaa mwanadamu,Kila siku wahangaika, Asubuhi na mchana kutwa,Mimi TAMATA kunishinda.Kweli wanichukia ,Ila mimi nakupenda.NIPO NAWE SIKU ZOTE HATA KAMA HUNITAKI 2.Jina...
Nadhani Professor kaikosea jamii ya wasomi wote kwani alitumia neno kuwaita waliotofauti na mawazo yake ni intarahamwe! Je yeye kama professor ni utafiti gani unaonesha kuwa CCM au kundi fulani...
Jamani naomba msaada kwa waalimu na wataalamu wa lugha ya Kiingereza. Je, ni kwa mtu ambaye ndio anaanza kujifunza lugha ya Kiingereza kwa ujumla inatakiwa mwalimu aanze na topic gani na kumalizia...
Wenyeviti wa kamati mbalimbali za Bunge Maalumu kila wawasilishapo ripoti nawasikia wakisema:'Maelezo zaidi yapo kwenye bango kitita. Bango kitita maana yake nini?