Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi.
Hii inapelekea watu kuanza kuchanganya lugha anapoongea ili haonekane msomi.
Ukienda...
Tujikumbushe kuhusu "tongue twisters" kwenye lugha ya Kiswahili. Hivi kuna neno la kiswahili la haya maneno "tongue twister"
Nakumbuka tongue twister moja ni hii:
WANAWALI WALE WA LIWALI...
Wakuu na wataalam wa lugha yetu ipi ni kauli sahihi inyapaswa kutumiwa kati ya hizo mbili, mara nyingi nimewasikia viongozi akiwemo waziri wetu mkuu wakipenda sana kuitumia kauli moja kati ya...
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si...
Neno Washenzi asili yake haswa lilikuwa likimaanisha watu wote wanaotoka Bara yaani katikati ya Ziwa Tanganyika na ukanda wa Pwani, kwa maana wakati huo walikuwa hawajastaarabika na hivyo Watu wa...
Habari zenu wadau,samahani nimekwama kidogo hapa nahitaji kujua "shamba la mfano" kwa kiingereza litaiwaje.Niko nafanya kazi ya mtu hapa sasa mimi mwenyewe natakiwa niwe dictionary ya swahili tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.