Za jioni wakuu. Tumetoka kuangalia video ya Bahati Bukuku na tumeangalia pia ya Bon Mwaitege. Nilichojifunza kwao na kwa wanyakyusa wote hawawezi kutamka vema heru L ambapo kila wakitaka kutamka...
Ilikuwa ni mchana wa jua kali, miti yote ikiwa imepukutisha majani yao na kuifanya ionekane kama mtu aliyesimama uchi. Sauti za ndege wa aina mbalimbali zilisikika zikilalama huku na kule, kama...
Nyenzo muhimu ya kujiendeleza kuifahamu lugha ni kwa kujisomea machapisho ya lugha husika.
Ugonjwa unaofahamika kwa jina la "dengue" kwa Kiingereza, waandishi wa magazeti yetu wameuitaje...
Unapoisikiliza BBC au Redio ya Ujerumani, unapata maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili bila ya kuwepo mchanganyiko wa lugha. Watangazaji wetu wa Redio hapa Tanzania ni...
Hodi hodi wataalamu wa Lugha.
Kuna maneno kama nzi[linasomeka nnzi]
mbwa[mmbwa] na mbu[mmbu].
Ilikuwaje maneno hayo yakaandikwa tofauti ya matamshi yake?
Wadau naombeni msaada huyu mdudu anaitwa...
Habari zenu wanajf leo ninataka kueleshwa vizuri,unajua ndani ya jamii inapotokea harufu mbaya utashuhudia watu wakisema "aah! nimesikia harufu mbaya" lakini kiuhalisia kabisa mtu hawezi kutumia...
Wataalamu wa lugha ya kiswahili leo nimeamka na utata kuhusu hili neno barabara, hivi tulikuwa na neno hili kabla ya kuja magari? Na kabla ya magari hizo barabara zilikuwa na kazi gani? Asanteni.
This is arguably the most productive thread on this forum. Do you have questions about grammar and sarufi? This is a crowdsourcing platform that will help you find the answers.
Wakuu naombeni msaada wenu kwani nimekua katika hali ya kujiuliza swali hili kwa kipindi kirefu bila jibu. nimekua nikisikia kua kuna watu ni wasufi, mara dini flani ina usufi ndani yake n.k...
habari za asubuhi wana jamvi nimatumaini yangu kwamba hapa ndo mwisho wa suluhisho la tatizo langu kuna maneno mpaka sasa hivi sijapata maana yake naomba kusaidiwa.
Kwa moyo mmoja nayawasilisha...
"Upo mwenyewe nyumbani usiku unaingia, unaogopa kulala ndani mwenyewe, unaenda kwa jiran kumtafuta mtu wa kuwa nae ndani ili usiogope " maelezo hayo kwa msamiati mmoja tunasemaje. Saidia jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.