Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia...
Jaman unakuta mtu kaomba USHAURI,kaandika kwa lugha ya KISWAHILI,basi watakuja mafundi watatia mbwembwe kibao wa kuandika KIINGEREZA.Unajuaje kama mtoa mada anaelewa?Ni USHAMBA maana hata sie...
Hili lina maana gani as far as wanandoa au wapenzi wapo concerned?ni kawaida kusikia yule jamaa ana gubu..linasababishwa na nini na inawezekana kujifahamu gubu lako mapema ukalishugulikia...
Wadau wa lugha habari zenu?
Lipo hili neno wadau.Silipendi na napinga sana matumizi yake hapa JF.
Nimeona WanaJF wengi pale anaposifia kitu anasema: hatareeeee!
Je, huyu anataka kusema...
1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi)
2. 'Kuuza chai'(Kupiga stori hasa za kuchekesha/au sizizo za kweli)
3.'Nyanga'(Supplementary exams)...
Hivi ni kweli wasomi wa tanzaia hawajui matumizi ya 'S' na 'X' ????sababu imekuwa desturi sasa mtu tena msomi unakuta anaandisa xaxa badala ya sasa au axante badala ya asante ,,sasa hii huwa ni...
Wana JF, Mimi Nina asili ya Bara, na maneno yanayotamkwa Kwa mkazo na hasa yenye kuanzia herufi 'ku' zinanipa hisia kuwa ni aina Fulani ya kutukana.
kwenye matangazo ya biashara ya Tigo Facebook...
Heshima mbele wakuu.
Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu.
ASANTENI SANA.
Malenga Mwanakijiji na Waghani wengine Mnaoliamini Azimio Arusha,
Kwanza nawasabahi kwa Salamu ya Ujamaa na Kujitegemea. Ombi langu kwenu ni kuhusu tenzi na mashairi ya Azimio la Arusha. Tuko...
Nisaidieni kumjua mtangazaji wa kiume anaeharibu kiswahili au ni wa nchi jirani anavosema sasa nachukua gazeti ya nipashe mara gazeti mtanzania.ni nani huyuuu ajirekebishe
Ninatafuta vitabu vya Kiswahili kwa ajili ya wageni.Hasa level ya intermediate na advance.Yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza vitabu hivi anijulishe.Ahsanteni.
In Tanzania, there is this whole conception of Kenyans being impolite, arrogant, and generally uncivilized, while Kenyans usually perceive their southern neighbors as pleasantly warm but way too...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.