Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wadau, Kuna mti unaitwa Mkurungu. Hii miti ipo kule Tabora. Kuna mtu anajua jina lake kwa kiingereza? Asante. Ben
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Wadau wa lugha, ivi hili neno ni msamiati rasmi ama ni neno lililoibuka tu kuwatambulisha waandishi wazamiaji au linaweza kutumika kwa mtu yeyote?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna SMS mbali mbali za busara ambazo watu hutumiana kwenye simu za mikononi zikiwa na jumbe mbali mbali za kuelemisha, kufariji, kutia moyo, kukosoa, kukejeli, kuasa, utani na vichekesho ambapo...
0 Reactions
3 Replies
98K Views
Ni uvivu wa mawazo au ni kitu gani? Ukimsikia mbunge akichangia bungeni, ukimsikiliza mtangazaji redioni au kwenye tv, lazima utamsikia akisema, kimsingi........ Yaani kila mazungumzo sasa hivi ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
>Nini chanzo cha lafudhi? >Kwanini lafudhi ya watu wa mkoa fulani hutofautiana na mkoa mwingine?ilhali tu nchi moja Mfano,wamakonde,wachaga,wapemba,wazaramo,wangon, wanalafudhi tofaut...
0 Reactions
51 Replies
18K Views
naomba uwe wa kwanza kujua makosa tunayoyatenda kila siku asubuhi njema mchana mwema usiku mwema kwa nini neno asubuh tutumie njema mchana na usiku tuseme mwema je ni neno gani sahih kati ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nilikua nasikiliza redio moja hivi ya FM nikasikia maneno yafuatayo "full mzuka" "Akampa vitasa" "Kiroho safi" "Arachuga" "Mzeya" "Amesepa" hii lugha itakuwa inafananaje baada ya miaka kumi?
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Bado napata mkanganyiko kati ya maneno mawili haya. 'Kupanga' na kupangisha' mimi naona kama kinyume kusema mmiliki wa nyumba anapanga na mhitaji anapangisha. Wana jamvi naomba msaada..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JIPATIE DVD ZA KUJIFUNZIA KIINGEREZA ENGLISH DVD part 1 of 5 CONTENTS: 1.Greetings 2.More Greetings 3.Greetings Throughout the Day 4.Useful Expressions 6.Introducing Yourself 7.The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimu wote. Nimekuwa mpenzi mno wa nyimbo za kilingala za wenzetu wa Congo. Imefika mahali sasa nataka kuyaelewa mashairi yao. Naomba kuna mtu mwelewa wa lugha hii au anaweza kunoelekeza...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
"Majority rule and minority right." natanguliza shukrani wakuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa maana halisi ya MSUKULE.... Au kitu au ili mtu aitwe MSUKULE inabidi aonekanaje au au awe na matendo yepi.....ni hilo tu
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Wengine watafikiri labda nimepotea njia, hapana, ila napenda kutoa angalizo kwa wanao/watakaokwenda kuhubiri injili pande za uhayani wasije wakashutuka mara baada ya kulitaja neno lenye herufi 4...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ninaposikiliza majadiliano bungeni baadhi ya wabunge husema: "Mh Naibu wa spika........" na wengine "Mh Naibu spika......." Ni addressing ipi kati ya hizo ni sahihi? Mimi nilifikiri Naibu spika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wazungu walivyo koswa neno "any one" wakaiba neno la kijita "ANYONE" likiwa na maana ya "namimi" huku wao wakimaanisha "yeyote" hebu twmbie kikwenukwenu wameiba neno gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf. ktk pitapita zangu nimekutana na karatasi yenye maandishi yafutayo: "mpingo ndi anthua Mulungu-gulu la anthu owomboledwa; iwo amene amadziwa ndi kumkonda mulungu. Kuyambila kale...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimemiss hizi lugha, kwa anayejua French, Italian,Spanish and German..... tafadhali naomba tuchat.... nahisi nitazisahau... karibuni
0 Reactions
98 Replies
9K Views
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ngoja niseme tu ukweli leo, hili neno la hii lugha ya kingereza "she" mi huwa najisikia vibaya sana nikilitumia au likitumiwa kum-refer MAMA yangu mzazi kwenye sentensi au mazungumzo sijui...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mtaalamu wa masuala ya lugha, Bwana G.W. Broomfield aliandika haya mwaka 1930. Makala yake ilikuwa na kichwa: The Development of the Swahili Language. Hebu tusome na tutafakari kama sisi Waafrika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom