Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naomba mnisaidie kuwarekebisha jamaa hawa. Wahenga walisema HABA NA HABA HUJAZA KIBABA. Kamwe, katu, katiti, abadan wahenga hawakusema "haba na haba hujaza KIBUBU". Hapana, tusiwalishe maneno...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Huu msemo unatumika sana pale mtu anapotaka kuweka taswira ya kuponda raha/maisha kwa kusema 'anakula bata'. Je, katika utamaduni wetu sisi watanzania bata ana nafasi gani? Kwa nini haikuwa kuku...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari! Karibu tujifunze lugha yetu ya Kiswahili ndugu zangu, mwenye dukuduku kuhusu maneno ya lugha ya Kiswahili uliza tujifunze.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti wadau wa jukwaa la lugha ni sahihi mtu kusema "ndio" au "ndiyo"??
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Hivi neno malaya huwa ni special kwa wanawake tu ama pia na wanaume?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari za majukumu! naombeni maana ya neno hili Ombwe mf.ombwe la uongozi Shukrani mbele
0 Reactions
3 Replies
12K Views
wana JF nilikuwa naomba nijuwe maana ya hii neno kwa kiswahili. Maana nijuwavyo mm ni Weledi ila nimeonekana kama nimekosea.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Miradi ya tovuti (website) si mingi sana hapa nchini ukilinganisha na mataifa yaliyoendelea kiteknolojia. Bado watumiaji wengi wa mtandao hutembelea mitandao ya nje kama vile Facebook, Twitter na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Et jaman anaejua maana halis ya neno NDONDWA aniambie, au kama kuna mtu ashalisikia,
0 Reactions
17 Replies
12K Views
Kwa hali halisi ilivyo sasa,lugha ya kiswahili kutowekewa misingi mizuri ya kukua na kuenea kwake kama ilivyokua miaka kadhaa baada ya uhuru,..baada ya miaka 10 ijayo asilimia kubwa ya watz...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna baadhi ya nchi ambazo hujulikana kwa kiingereza kwa jinsi zinavyojulikana;lakini nchi hizo pia katika llugha yetu adhimu ya Kiswahili unakuta zinaitwa majina tofauti.Mfano nchi kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mimi ni mwanalugha hasa lugha ya kiswahili . kwa sasa naona fursa za kufundisha lugha kwa wageni kwetu hapa adimu sana. hivyo nataka nikasome mastez yake kenya na nitafute huko fursa. mwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania to open Kiswahili teaching offices in foreign countries Traders sell their wares in Arusha, Tanzania. Kiswahili has been one of the unifying factors of Tanzanians and is currently...
7 Reactions
27 Replies
8K Views
VYOMBO VYA HABARI NA MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA LUGHA NA ATHARI ZAKE KWA WASIKILIZAJI WAKE 1. UTANGULIZI Andiko hili ni maalumu kwa watu wa habari hapa nchini pamoja na watanzania wote na...
0 Reactions
6 Replies
20K Views
Habari zenu wanajamvi wa jukwaa hili la lugha, husika na kichwa cha habari hapo juu, why waungwana waliamua kukiita kibao cha mbuzi na si cha nazi? mbuzi katumikaje hapo? Nitashukuru kwa...
0 Reactions
30 Replies
20K Views
mara nyingi nimekua nikifatilia habari kwenye vyombo vya habari vya kenya na hata BBC wakihariri habari wakenya hulitumia neno KUKASHIFU kama kulalamika au kupinga maamuzi au maneno yaliofanywa na...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
vp kiswahili kilisanifishwa je ilichukuliwa lahaja moja ya kiswahli na kusanifishwa auwalichukua lahaja mbalimbali ikasanifishwa. kama wakuu kuna mtu atanijuza hili ntafurah sana maana katika...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hivi huu msemo ulitokana na nini.,? Historia yake ikoje...(yani kwa nini athumani na si jina lingine)
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wengi tumezoea kusema "nasikia harufu fulani" wakati inafahamika kwamba hatutumii masikio kutambua harufu bali pua,je ni neno gani sahihi la kuelezea hisia hii badala ya neno "nasikia"??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nini maana ya hili neno wakuu? Nimekuwa nikilisikia mara kadhaa likitumika katika vyombo vya habari hasa redio, lakini sijafanikiwa kupata maana yake!
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom