sina shida na Airtel au huduma zao, lakini nataka kujua kwann hawa jamaa wa mitandao wantumia maneno ya kihuni kila siku na TRA wako wap? maana ya neno bure ni nini kama sio *bila malipo*??
maana...
nahitaji mwalim wa kunifundisha lugha ya Kifaransa muda wa jion kwa aliyeko Dar es Salaam. awe na programme ya mi kuelewa haraka, kusoma/kuandika na kuongea. Najua Kiingereza vizuri cha kusomea.
1. OBHWATO MBWAGA Kwa Kijita maana yake ni HUU MTUMBWI WA NANI?
2. MANYONI kwa kisukuma maana yake ni PAPUCHI.
3. CHUNYA kwa Kisukuma maana yake ni Kuingiza Dushelele...
Habari wandugu,
Mie nnaswali moja, hivi mtu anaedhaniwa kuwa ni jambazi ni mtu wa aina gani hasa?
Mtu amekutwa eneo la tukio akifanya wizi, anauawa na wananchi baadae vyombo vya habari vinaripoti...
Nawaombeni msahada coz watu wengi wanasema tofauti tofauti kwamba: ngoni walipofika tanganyika kiongozi wao alikuwa nani?? Na nikwann walitoka south afrika? Na ilikuwa mwaka gani??
Bonjour,
Please use this thread to chit chat in french. All members who attend Russian Roulette's French lessons for beginners are free to practice here.
Merci
Habari ndugu zangu!
Mimi huwa nakubali mara nyingine tunaweza kuchanganya kiswahili na kiingeereza lakini kidogo tutumie jitihada neno BORE kulitamka sio BORE ni kama kutamka BOA sasa inakuaje...
naombeni mnifahamishe ulinganifu uliopo kati ya kamusi la kiswahili fasahaa dhidi kamusi la kiswahili sanifu kwa maendeleo ya kiswahili.natanguriza shukrani kwenu,
Tu as le Lyrics de cet chanson "FATIMATA" par Sam Mangwana? Donne-le pour moi S.T.P
elle m'a fait tourner la tête
à cause de sa beauté
elle a un corps pete pete
elle a un...
Huwa ninashangazwa na jambo moja, wenzetu wanaoishi ughaibuni (DIASPORA) wakikaa sana (3yrs+) aghalabu hurudi na lafudhi (accent) ya huko, ninashangaa zaidi mtu akiishi mfano Marekani anarudi na...
Itabidi wadahaliane (msianze kunirushia madongo..hili neno nimelitunga mwenyewe nikimaanisha wa debate). Mdahalo ni noun, kwa kiingereza debate ni noun na verb. Sasa verb ya mdahalo kwa kiswahili...
Hivi ipi ni sentensi sahihi kati ya:
'Naomba unipigie nyimbo ya Madee na Naomba nipigie wimbo wa Madee? Wafunzi wananikera sana. Msaada wenu tafadhali.
Kuna rafik yangu hajui kiswahili ameingia Tanzania leo kuja kutalii, ametoka marekani akaenda kwanza Entebe Uganda, kisha Nairobi Kenya leo kafika Dar.
sasa kanipigia simu ananiuliza nimwambie...