Hey members!Naomba nitoe msaada wa matumizi ya neno WHO & WHOM maaba watu wengi huchanganya sana.
Kwa kifupi WHO hutaka kujua mtenda tendo(subject) wakati WHOM hutaka kujua mtendewa(accusative...
Hiki tunachoita mabomu ya machozi, wenzetu waswahili pia wakutoka Kenya wanaita vitolea machozi.
Binafsi najiuliza ni kwa nini tunapenda kutumia neno bomu au mabomu?
Ni makusudi au ukanjanja...
Wakati watanzania na serikali yake tukiidharau na kuchukulia poa lugha yetu adhimu ya kiswahili, wenzetu wa mataifa ya nje wanaithamini sana na kujifunza kwa kasi.
Leo kupitia habari kwenye TV...
Salamu ukumbini, nimerudi wamalenga
Nauliza uwanjani, majawabu sitopinga
Yametokea mjini, msiniifanye mjinga
Dini mbili harusini, ndoa gani tutafunga
Moja ya kuumeni, dini njema imefunga
Kijana...
Wale wote mnaotumia R kwenye L, jitahidini mwaka 2014 muache kabisa, kwa hizi siku 6 zilizobaki endeleeni kutumia ra ra zenu ila january tafadhalini sana,
Nadhani mnajijua wale wa...
Siti binti Saad alizaliwa katika kijiji cha Fumba, Zanzibar mwaka 1880. Alipozaliwa alipewa jina la 'Mtumwa' hii ni kwa vile alizaliwa katika kipindi caha utumwa wa Kiarabu Jina la Siti alipewa na...
1. Anazitaka zirudi, ayyamu walayali
Zilizo vunja miadi, na kututenga wawili
Zikatuweka baidi, tukaishi mbali mbali
Vipi leo zitarudi, ziwe tena za awali
2. Nilimpa moyo wangu, ukawa ni nyumba...
nahitaji mwalim wa kunifundisha lugha ya Kifaransa muda wa jion kwa aliyeko Dar es Salaam. awe na programme ya mi kuelewa haraka, kusoma/kuandika na kuongea. Najua Kiingereza vizuri cha kusomea.
Kama ilivvyo ada kwa wahaya kila mwaka hupewa jina. Na mwaka huu 2014 umeitwa WETOHYE.
Abahaya na buli omoi waitu ayetohyeze Ruhanga tubase kushabuka kurungi n'emirembe.
Mpahonu: obakeise...
JAMANI naomba msaada
nahitaji kujua english language kwa ufasaha kwa muda mfupi
level yangu ya elimu ni chuo kikuu lakini english yangu ni mbovu sanaaa
natanguliza shukrani
Mtanzania mmoja aitwae john,apata bahati ya kuwafundisha wazungu lugha ya kiswahili;hiyo imetokea baada ya kijana huyo kuwa na tabia ya kutembelea mitandao mbalimbali na ndipo katika mtandao mmoja...