hili ziwa lipo huko Marekani, jina lake ni Chargoggagoggmanchauggagoggchaubunagungamaugg, watu wamekua wakiliandika tu huku wakishindwa kulitamka.... dunia ina mambo.
Katika kupitiapitia kwangu nimekutana na makala ambayo nimeona ni bora kuiweka hapa ubaoni ili wote tuweze kuisanifu
Swahili ni Taifa la makabila yaliopo katika Pwani ya Afrika ya Mashariki...
Muda mrefu nimekuwa nikipata shida kutambua ni neno gani hasa sahihi kati ya
1. Ugali na Ugari...utamsikia mtu akisema "nina songa ugari", je ni sahihi
2. Kulowa na Kurowa...utamsikia mtu akisema...
Utata wa kisarufi ni kitu cha kawaida sana katika lugha zote duniani.. Utata huo waweza tokea kwa sababu mbalimbali.
Lakin kwa lugha yetu ya kiswahili utata huo wa kisarufi umezidia mipaka kiasi...
Wana jf.
Juzi nimetembelewa na mtoto wa dada angu,sasa huyu mjomba ni bubu,sasa kwa siku mbili hizi nilizoo kaa nae,yaani hatari. Kwanza anaonekana mwongeaji sana (kwa lugha za Alama).
Pili ni...
Shahidi wa kwanza wa Mashtaka katika kesi inayomkabili Mkamu wa Rais wa Kenya,William Ruto leo ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai(ICC). Shahidi huyo wa kike ametoa...
hili halijaanza jana wala juzi ila siku hizi imezidi mno na kuwa kero. tafadhali sana waandishi wa magazeti, naombeni mzigatie uandishi wa kiswahili fasaha na sahihi pasipo kukera wasomaji...
nilipo kuwa kidato cha nne mwalimu wangu alikuwa aki husianisha kiswahili na maneno ya kibantu. alisema maneno yote ya kibantu na kiswahili ikiwa miongoni mwa rugha hizo, yameishiwa na irabu mfano...
Elimu bora ni muhimu kwa
kila mmoja wote tuelimike
tufikie malengo tokomeza ziro
kwa vitendo tokomeza ziro
Kiitikio: mwisho wa ziro x 8
Akakufundisha ukafika kuwa
mwalimu chonde chonde
moyo...