Nakumbuka Mara ya Mwisho Kuzitia Kinywani Ilikuwa ni Zaidi ya Miongo Mitatu na Nusu Iliyopita Tukiwa Mandarini.
Porojo na Ndarire bila Ndaro za Fikra Nasaha
Njugumawe zile zilivuta tamaa na...
Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao...
Africa's Most Spoken Local Languages
1. KiSwahili (200 million speakers)
2. Hausa (120 million speakers)
3. Amharic (57 million speakers)
4. Yoruba (50 million speakers)
5. Igbo (45 million...
Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli?
Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?
Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana...
"Kuna haja kubwa..."
Hicho Kirai (phrase) hakifai kwenye mawasiliano rasmi na ya staha.
Ebu ona hii:-
"Kuna haja kubwa"
Tafsiri zake mchanganyiko:-
1. Kuna uhitaji mkubwa.
2. Kuna choo (stool)...
Salaam Ndugu zangu?
Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu.
Je maneno haya umeshawahi kuyasikia
Ngawira
Ndarama
Fagilia
Shangingi
Chekibobu...
Habari za wakati huu wana JF.
Samahani sana naombeni msaada wenu, nahitaji kuwa mtaalamu wa lugha za kigeni(kusoma, kuandika na kuongea kwa ufasaha) na nipo tayari kuanza kujifunza mwezi huu...
Ukiwa Chugga, utasikia misamiati tofauti sana na maeneo mengine, kama kwenye wingi wa maneno, mfano:
Maji - Mamaji
Ulaya - Maulaya
Watu - Mawatu
Zipu - Mazipu
Kikombe - mavikombe
Sahani ya pilau...
MAUTI.
Tuishi na kukumbuka
Kama si leo ni kesho
Ni siku ya kuanguka
Nyakati zako za mwisho
Ni lini itakufika
Na vipi mataarisho
Dunia ni ya kupita
Tuyakumbuke mauti..
Tuishi kwa kuingoja
Kutenda...
SHAURI YAO
Watasema kila leo, kuwambia walimwengu
Wachapishe matoleo, ya kireno na kizungu
Nimejaliwa upeo, na kisha ninaye Mungu
Hayo wanayo yatenda, yatawarudia wao
Wenda wakidanganyana...
Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa.
Kwanza kabisa...