Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hi to all my dearer friends, Kiswahili classes for foreigners and English for Tanzanians through Online (Zoom) still continue, What are you waiting for? Come and learn the language for your...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa...
0 Reactions
8 Replies
550 Views
Hapa wadau Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala, Mfano ule wimbo wa...
4 Reactions
162 Replies
16K Views
Tangu tunazaliwa, makuzi yetu, shuleni, hadi utu uzima, lazima Kuna neno au msemo bado hujapata mantik yake Hadi leo, kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana midemo, nahau na maneno...
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Penzi lako nili tamu,kwako nipo taabani Penzi aliishi hamu, limeingia damuni Hii sasa yangu zamu, kufurahi Duniani Nimeipata bahati, kupendwa na Malaika. Penzi lako kama nuru, linanitoa gizani...
3 Reactions
6 Replies
471 Views
Naomba kujuzwa kituo kizuri kinachofundisha lugha ya Kifaransa hasa mida ya jioni. Nitafurahi nikijuza na gharama zake kwa kila hatua. Asanteni
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina. Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza...
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Sheria Niwaandikie tenzi, au naliwe shairi Mpate na kulienzi, na mtoe ushauri Mimi naitwa mkwezi, nasema nilofikiri Naomba kuwauliza, machache kwa hizi beti Na mpate kunijuza, haraka niende beti...
0 Reactions
6 Replies
375 Views
TUJIFUNZE KISWAHILI: 1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia? Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Msenge (kwa Kiingereza: Transgender) ni aina ya watu ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na jinsia zao za kuzaliwa nazo. Kundi hili dogo hujumlisha watu wanaokusudia...
3 Reactions
9 Replies
9K Views
Tafadhali naomba kujua neno mbadala wa "msamaha", "samehe" la kiswahili pia Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
506 Views
Wandugu! Nimekuwa nikisikia sana kuhusu hii kitu inayoitwa karma ikihusishwa na kutenda mabaya tu. Namnukuhu mtu mmoja akisema "I'm letting karma do his dirty job!" Karma ikoje? Nini maana yake...
0 Reactions
38 Replies
44K Views
Nimekua nikisikia mara kwa mara wachambuzi mbalimbali hasa katika vyombo vya habari ikiwemo Televisheni na Radio wakichambua kuhusu mada za ukuaji wa lugha ya Kiswahili kama vile kuongezeka kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kilicho Chako ni Chako 1 Nasema yalo nisibu, ukweli nawaeleza. Sitaki niwe ja bubu, na nyie mkateleza. Mkapata masahibu, leo hii nawajuza. Kilicho chako ni chako, vya watu vina maneno 2...
3 Reactions
0 Replies
357 Views
Maana ya Riwaya kwa ujumla Riwaya ni masimulizi ya kubuni ya kinathari yenye msuko au mpangilio fulani wa matukio au ploti inayofungamana na wakati au kusawili wakati na yenye visa vingi...
1 Reactions
2 Replies
21K Views
Tashtiti Sio kivile Mabumashi Kivuruge Bandidu Ushubwada Mgaigai Macho kuona Kausha damu Duka la mangi Harakati Udwanzi
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Baadhi ya Riwaya kama kufa na kupona, Njama na Kikomo.
2 Reactions
166 Replies
98K Views
Naomba kujua maana ya neno Upwiru kama linavotumika mitandaoni mf "natamani kuwa singo ila nina Upwiru linakaba koo".
0 Reactions
4 Replies
48K Views
Back
Top Bottom