Mke wangu aniamsha, usiku saa sita,
Machozi aomboleza, simu anonyesha,
Habari mbaya napata, usingizi unakata,
Akili yangu kataa, Magufuli amekufa.
Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota,
Aniijia...
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana mbadala.
NENO MAANA
Radio...
Mtunzi: RamaB.
Hivi hawa matajiri, walifanya kazi gani?
Kuondoa ufakiri, wakawa mamilioni.
Nipeni yao siri, iniingie kichwani.
Kuchuma najitahidi, sina bahati mwenzenu.
Nikalikamata jembe, panga...
Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile...
Habari zenu wako.
Ase imetokea nimegundua sipo fluent kwenye kuzungumza kimombo, sasa naomba msaada wa mtu/watu nitakae kua nazungumza nae angalau niweze kupata kujiamini kwenye uzungumzaji lugha...
Habari za muda huu wa wanaJF!
Kama yalivyo maelezo hapo juu.
Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:-
Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu...
Habari wana jukwaa la Histori.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Hapo juzi juzi miaka ya nyuma kidogo wazazi , walezi na wakubwa wetu walikuwa wakitusisitizia sana pindi walipo...
BODABODA
Leo mie boda boda,
Nakikalia kigoda,
Upepo ni yangu poda.
Naipenda sana kazi,
Ndo inipayo malazi,
Kula mpaka mavazi.
Sina elimu kichwani,
Nina peni mkononi,
Na mawazo akilini.
Sinayo...
Ndugu zangu...
Sio Leo, wala Jana, au Juzi wala Majuzi tumekuwa tunasoma Lugha zenye utata katika baadhi ya nyuzi na maudhui yanayo ambatana nayo...mfano mzuri ni kama zile za mambo ya ndoa...
Ninaelewa kuwa Kodi ni malipo yasiyo ya hiari ambayo raia analipa serikalini kutokana ama na mapato au kutokana na mali anayomiliki. Kuna Kodi ya Ardhi, Kodi ya Mapato, Kodi ya Gari na kadhali...
Ukitaka kuandika hongera baadhi ya keyboard zinakupakazia eti kongole!
Kongole wich, who are you kongole? are you normal?🤷♂️
Je ni kutohoa congratulations au ni nini?
Kwani kiswahili lini...
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.