Kiswahili kina ugumu wake. Nashindwa kutofautisha kati ya "Ona", "tazama" na "angalia".
Je, ni wakati gani natakiwa nitumie neno lipi katika matumizi sahihi ya kiswahili?
Naomba kujua matumizi...
Habari zenu wanajamii forums
Leo naomba kuelekezwa maana ya neno NDWELE maana tunasema yaliyopita si NDWELE tugange yajayo sasa nini maana ya NDWELE maana ninalisikia kwenye huu msemo tu ila...
7 OF THE EASIEST FOREIGN LANGUAGES TO LEARN
1. Spanish
Speaking: Very Easy
Grammar: Very Easy
Writing: Easy
Overall: Very Easy
As English speakers, we can be thankful that Spanish...
Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia.
Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni...
Na: SHAABAN ROBERT (1909-1962)
1.Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana,
Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana,
Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina,
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana...
Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi.
Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi...
ENGLISH TUTORIAL
Mate, tatizo la kuelewa kuandika na kuongea na lugha ya kingereza ni suala mtumbuka. Wengi wetu hasa tuliopita shule za uswahilini bado lugha yetu haipo sawa. Hivyo basi...
Mimi nikiwa mmojawapo niliyekuwa na shauku ya kutaka kujifunza hii lugha ya kichina. Niliwandikia UDSM mail, nashukuru wamenijibu mapema jana. Soma zaidi kwa ufafanuzi.
Pamoja na Salamu kutoka CI...
Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake.
Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga...
Wakuu
Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile...
Wapwa, habari za muda huu?
Kuna neno 'Onyesha' naona linatumika vibaya na mara nyingi limekuwa likitumika mahali ambapo si mahali pake.
Kuna maneno mawili watu tumekuwa tukiyachanganya 'Onesha'...
Waswahili tuna kawaida ya kukazia maneno, hasa kwenye rangi kama ikiwa rangi moja
Mfano
Nyeupe... Pee!!
Nyeusi... Tii!!
Sasa je rangi kama
Nyekundu????
Njano???
Blue nk.
Tunakaziaje?
Sipati picha kama JF wangekuwa wameandika jina lao kama "Jamii Folums" ingekuaje.
Au jukwaa hili jina lingeandikwa "Habali na Hoja mchanganyiko sijui ingekaaje hiyo.
Inaeleweka kwamba kila mmoja...
Hai..
Mtu anaweza kuelezea hoja yake kwa Kiswahili. Akifika pahala fulani anabadili lugha kuashiria kwamba anapunguza ukali wa neno!
Je, neno kali, ni kwanini tunaliita "kali" na bado tunaweza...
Guangzhou!
Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga??
Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga"
Pia naomba msaada wa maneno haya
1.Monde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.