Mimi nilijua ukijua kuandika vizuri kiswahili kinalipa, sio kila mtu anaweza kuandika vizuri, hata huko Ulaya Kingereza sio wote wanaondika vizuri.
Sasa wewe mwenzangu unayekuja kutakebei kwa...
Sina taarifa naye ila huyu jamaa alitamba sana sana kwenye kundi la chuchu sound kwa jina la bwa chuchu.
Misemo iliyotumika kwenye nyimbo
"Nimekalia bigijiii unataka ni kuband...."
Hivi yupo...
Kumekuwa na mtindo kwenye Jamii kugeuza maneno yenye mlengo wa ki matusi kuwa kama sentensi au misemo rasmi na halali kuitumia kwenye maongezi ya kawaida.
Na kwa isivyo bahati kwa utitiri huu wa...
Salaam Wakuu,
Natumai mnaendelea vyema.
Katika kuendelea kujifunza lugha na namna bora ya mawasiliano leo nimeona nilete mtazamo wangu na nisikie kutoka kwenu pia.
Matumizi ya lugha yoyote...
Kwenye Kifaransa ukijua jinsi gani ya kutumia hizi verbs mbili tu kwenye nafasi ya kujua Kifaransa una asilimia 50% hizo zingine jifunze tu spelling
Verbe être (verbe etre) verb to be
And verbe...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezitaka wizara na taasisi za serikali kuendelea kutekeleza maagizo ya serikali ikiwemo kutumia lugha ya kiswahili...
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb...
Habarini wadungu wa JF
Huyu Mwanaume asiyejielewa ni yupi, anatabia zipi.
Wengi huelezea kijazba na kibinafsi baada ya kukutana na likulumbembe. Kumbe linajielewa.
Unakuta mwanamke mwenyewe...
Wakuu, maneno hayo hutumiwa sana na vituo vya TBC na Azam TV mtawalia.
Naomba mnielimishe, yana maana gani?
Binafsi nakereka kuona yakitumiwa sana na watangazaji wa TV hizo huku maana yake ikiwa...
Kuna maneno mengi yaliyotoholewa kutoka lugha nyingine na kuwa ya Kiswahili, machache ninayoyakumbuka ni boma, waswahili tukaita bomani.
Neno hili lilitokana na ofisi za kiutawala za wakoloni wa...
Mzee Makamba siyo utelezi ni kusudi kabisa kwasababu kama ni utelezi mbona kuna kauli uliirekebisha papo hapo.
" Wazuri hawafi mapema, ndiyo maana Kikwete yupo, Kinana yupo"
MADA
" WAZURI...
Salaam!
Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe.
Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями?
Natanguliza shukran!
Nimeiingia google kutafuta maana ya neno hili :
frustration
noun
1. the feeling of being upset or annoyed as a result of being unable to change or achieve something.
2. the prevention of the...
Ukizaa mwana mwari, yani mtoto wa kike,
Wazazi muwe tayari, kuzichunga haki zake,
Dunia haiko shwari, Kuulinda utu wake,
Ni juu yenu wazazi, Kumfunza kwa makini,
Nyakati hazifanani, hilo mlijue...
Naomba kujua maana ya maneno yafuatayo kama alivyotumia Dulla Makabilla katika kibao chao na Ngajupa - wanaongea;
1. Kiwaki (maswali ya kiwaki)
2. Churia (unanichuria)
Ukileta taarifa kidogo tu utasikia hii chai, mara majani ya mpera, mara watakwambia hii ni gahawa, mara majani ya chai mengi, mara tangawizi imezidi!
Hivi hili neno asili yake ni ipi na ina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.