Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Habar wana JF .Nimezingatia Maoni ya wadau leo nakuletea somo jipya.Wale ma "beginner"Karibu!!! ALPHABETS & PRONUNCIATIONS: - A- ahh B- bey C- sey D- dey E- eeh F- eff G- jhay H- ahsh...
8 Reactions
77 Replies
8K Views
Hebu tuone walioiva kweny English Nipe maana ya msamiati huu I wish you "LONGEVITY" my friends
1 Reactions
9 Replies
848 Views
Tarehe 30 september kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Tunaotafsiri vitabu tunapata shida sana kwa kukosekana kwa maneno rasmi ya kuelezea maana fulani. Lakini mtaani utakuta kuna maneno...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wawe wanashirikisha wadau bana. Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti...
7 Reactions
110 Replies
9K Views
Kiingereza hatujui na lugha yetu adimu na adhimu kila siku tunaiharibu kwa kuingiza maneno ya kihuni. Tunakosa nafasi za kufundisha nje ya nchi pamoja na kazi za kutafsiri. Tutumie lugha moja ili...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
"Passengers, please don't smoking compartment, thank you for your cooperation" Hivi ndivyo ilivyoandikwa kwenye moja ya mabasi ya mwendokasi Dar T519 DWR
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari... Kiswahili ni Kibantu, lugha nyingi za kibantu zina articles zao kama ilivyo kwa lugha zisizo za kibantu. Sasa huwa najiuliza sana ni kwanini Lugha ya Kiswahili inakosa articles rasmi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii sentensi ina maana gani wakuu? "If I send a letter with a cashier's check, how long does it take to get to you from the U.S?"
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ina maana unaelekea kupigwa Muda si mrefu... NA hao wazungu feki wa WhatsApp au insta uzi ufungwe
3 Reactions
0 Replies
384 Views
Ni wakati gani Kiswahili kinakuwa LUGHA ya AFRIKA au kuwa Lugha ya Taifa? Froma Tanzania
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Nilikua nacheza game moja hivi linaitwa #swahiliwordcross, nimefanikiwa kutoka na haya maneno machache nikaona ngoja nilete huku tuendelee kuchambua Kiswahili kwa njia zote. VIJULANA WENZANGU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Achari yalisha. The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.) Ada ya mja hunena...
5 Reactions
606 Replies
814K Views
wandugu kwa kiswahili neno sahihi la conspiracy theory ni lipi?tukisema nadharia njama ina make sense kweli?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni maana ya" mawasiliano fasilifu " hasa neno fasilifu nimechemka hata kisawe chake hamna
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kitabu cha kiswahili utasoma siku moja au mbili umemaliza. Cha kiingereza utasoma wiki na zaidi na usimalize kamwe. Kwa sababu kiingereza kwetu huumiza kichwa na akili na kuleta kigugumizi. Hata...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
Mahali mbalimbali Kuna mahali au sehemu mbalimbali za kufanyia shughuli mbali mbali. Yatazame maelezo ya mahali yafuatayo. 1. Maktaba: sehemu ya kuwekea vitabu kwa ajili ya kusoma na kuazima. 2...
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet Mfano...
4 Reactions
21 Replies
8K Views
Naona na hii, "Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa miguu."
1 Reactions
2 Replies
1K Views
As usual,Ni siku nyingine,, Blue Monday,,,, !!! Haya Ni maneno ambayo mwanaume huwezi kumuandikia mwanaume mwenzio,,,, kubwa la maadui ni ; "make Apo kwanza nicheke""" dah Mara "Mambo" ...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom