Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia.
Mie, natambua...
Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema.
"I want to eat you"
Labda unamwambia kuku mfano
Ni sahihi kusema nataka nikukule?
Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri
Kwenu wataalamu wa Lugha
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu .
g
Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au...
Kiingereza, kifaransa, kiarabu, na kiispania ndio lugha zinazo zungumzwa na watu katika nchi nyingi duniani. Kiingereza karibu makoloni yake yote ndio lugha wanayotumia, hali kadhalika kwa...
Wakuu hii kitu "Kuhudumia" naona haiko sawa kabisa Kama vile wengi wanavoitafsiri. Wengi naona wanaichanganya na neno "Kuhonga"
Mtu ukimpa au kumlipia hela ya kula, mavazi , au makazi (Mahitaji...
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE...
Habari za leo wapendwa, leo nimekutana na changamoto moja ambayo imenifanya niwaze sana japo najua kuna majibu yake humu ndani.
Naomba kujuzwa Pacha wa tatu au nne kuzaliwa anaitwaje kwa lugha...
Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje?
Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili 😂😂😂😂
Hii ndio nini sasa👇
Hello my jf friends[emoji112] hii ni thread yangu ya pili nabandika hapa jukwaani lakini sio kwamba niko expert sana kwenye haya mambo ila ni passion tu ndo inanisukuma pia napenda kushare kama...
Ndugu wadau,
Naomba kujuzwa kitaaluma vioo vya pembeni vinavyomuongoza driver katika kuendesha gari au pikipiki vinaitwa SIDE MIRRORS au SITE MIRRORS kwa kuwa watu wengi hutamka kati ya maneno...
Salaam kwenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na majukumu ya ujenz wa Taifa letu kupitia Royo Tawa ya uswazi. Ammaa baad. Naomba msaada wa kujulishwa maana ya kingereza ya msamiati wa kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.