Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Mwanangu leo amenitumia shairi. Ameliita 'shairi mahiri'. Linasomeka: Tumbo nimezaliwa nawe, Tumbo usinifanye nipagawe, Tumbo usiniache mwenyewe, Tumbo unanidhalilisha. Tumbo mimi nimesoma...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Geuza sentensi hii iwe ya kiingereza ""Baba mimi ni wangapi kuzaliwa?"" Ukipata njoo inbox
1 Reactions
137 Replies
16K Views
Uzalendo ni nini? Ubinafsi ni nini? Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake? #Maelezo ya screenshot ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo nimesome sehemu kuwa wabunge wamepinga ripoti ya mto Mara wanataka iundwe "tume huru." Kila mara tumekuwa tunasikia watu wakilalamika kuwa inatakiwa tume huru ya uchaguzi. Ninavyoelewa, tume...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Maana nazozipata humu mtandaoni zinanichanganya. Msaada
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nyota wa Bongo flavour Diamond Platnumz amepata taabu sana mitandaoni kwa siku kadhaa sasa kutokana na kiingereza chake kwenye filamu ya #YoungFamousAndAfrican. Mdau mmoja amesema kuwa wengi hapa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau wa jadwali hili leo nakuja na somo jipya.Jifunze baadhi ya majina ya Matunda Na mboga mbali mbali kwa lugha ya Kifarasa.Kama wengi wenyu mlivyopendekeza ktk coments zenyu Nilizifanyia kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jumapili wanajamvi, Natumai mkopoa kabisa, sasa hebu leo kidogo tuangazie lugha yetu. Japo kiswahili ni lugha yetu, na tunaizungumza kila siku, ila kuna maneno mengi ambayo hatuyatumii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
HAKUNA TENA SIRI. Kuna mambo siku hizi, hupayukwa hadharani Tena mambo ya kishenzi, asoweza firauni Kila kitu waziwazi, wanotenda faraghani Wapendanao vizuri, hawapayuki njiani.. Zama...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi sentensi hii kwa kiingereza tunaweza kuisemaje? "Kumtua mama ndoo kichwani" Yaani kama vile unamwambia mgeni kwamba nchini kwetu tunataka kumtua mama ndoo kichwani.[emoji3] Ahsante
1 Reactions
87 Replies
5K Views
Kisonoko: Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo. Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Shairi: Itakuwaje nikifa? Kuna mda ninawaza, itakuwa je nikifa, Maswali najiuliza, nikifikiria kufa, Naogopa kujikweza, kuzikwepa mbaya sifa. Nisife kama fulani, kufa bila ya alama. Nataka nife...
3 Reactions
1 Replies
789 Views
Siwezi kula makombo, ijapo niyakunona Umesha jipaka shombo, siwezi kuramba tena Yaliopita kitambo, yaliniumiza sana Kurudi kwako siwezi, kurudi kudanganyana.. Kula nilichotapika, kwangu hilo ni...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
NIMEZICHOKA DHARAU Ni kheri niende zangu, sababu umenichoka Wateseka moyo wangu, nimezichoka dhihaka Wazarau pendo langu, ya nini kutaabika Japo bado nakupenda, nimezichoka dharau. Nimechoka...
1 Reactions
1 Replies
911 Views
Naulizia kuhusu sehemu wanayofundisha lugha ya kichina kwa apa Dar es salaam Tanzania Nawasilisha.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana. Kupitia uzi...
8 Reactions
61 Replies
7K Views
Naomba msaada kwa yeyote anayejua anifahamishi hizi mbegu zinazoitwa kwa kiiingereza Flax Seed au Lin seed zinaitwaje kwa kiswahili na ni wapi naweza nikazipata Dar es salaam, au mahali...
0 Reactions
16 Replies
65K Views
Huenda tulipendana, na sijui ni kwanini Miaka tuliachana, lakini bado moyoni Nahisi tunavutana, kwa macho pia ndotoni. Au ndio mazea, hutesa na kupumbaza Kutaka kuyarejea, mwenzenu bado nawaza...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini asili ya neno Soni au Chiba? kuna wakati mtu mlemavu wa mguu anaitwa majina hayo. Je ni kwa vile tulikuwa na waziri mzungu enzi za Nyerere aliyekuwa mlemavu wa miguu akiitwa Derek Bryson...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania, eti; Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na...
5 Reactions
98 Replies
15K Views
Back
Top Bottom