Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni...
Unakuta mtu badala aandike neno kwa usahihi analiandika katika matumizi ya herufi ambayo siyo na huku ni kuzuoesha wengine matamshi ambayo mwisho wa siku yatazidi kuharibu lugha ya kiswahili...
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina...
Wakuu habari zenu.
Nimepita kwenye status moja ya mdada nikakutana na hiyo clip ya Royal Tour kukiwa na maongezi kati ya Rais Samia na huyo mzungu.
Kuna kipande Rais Samia anamwambia huyo mzungu...
Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu...
Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) ...
Kutohoa ni kitendo cha kuchukua baadhi ya maneno kutoka lugha za kigeni{lugha jirani}na kuongeza maneno hayo katika lugha kusika.
Matumizi ya meneno hayo yanaweza yakafanana kati ya kimaandishi...
Wanabodi,
Kuna mapengo hayazibiki mfano la mwimbaji na mtunzi nguli Captain John komba ndani ya ccm kwa nyimbo zake na tunzi ndivyo kwenye lugha ya kiingereza hasa kwa watanzania Ben Mkapa...
WASEMAVYO WANAFASIHI:
"...Kusema haya na haya, duniani kuna vilima na mabonde; kuna kupanda na kushuka; kuna mashaka na raha. Yote hayo hayaendelei, likawa moja tu hilohilo kila siku.
Unapanda...
Ni dhahiri kabisa hizi herufi mbili za R na L zinamtatiza sana Raisi wetu, Mara nyingi ktk hotuba zake amekuwa akisikika kabisa kuzikosea yaani sehemu ambayo alitakiwa kutamka neno Reli, yeye...
Hili tatizo lipo kwa Watanzania wengi sana hata graduates kwenye kuandika maneno ya kiswahili lakini si Kiingereza.
Mfano graduate hawezi kosea akaandika gladuate, lakini mtu huyo huyo ramli...
Habari wakuu! Naomba kujuzwa hivi hakimu mkazi manake nini hasa ni yule anaekaa karibu na mahakama au anaishi karibu na mahakama nielewesheni wataalamu wa lugha,nawasilisha!
=====
Mahakama...
Nimekuwa nasikia maneno haya lakini yananichanganya kujua matumizi yake sahihi.
Vukiza au fukiza?
Vundika au vumbika?
Kompyuta?
Mtandao
ila
ingawa
msanii
puchu
mkwara
mwake
chuna
mbongo
Ninayo...
Naombeni mnisaidie haya maneno yanaitwaje kwa kiyao
1. Kichaa
2. Titi la mwanamke
3. Kujamba
Kuna deal la pesa linakuja kwa atakaye tafsri vizuri maneno haya
LUGHA YA KISWAHILI
Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.
Lugha hii...
Hakuna neno la kiswahili linaloweza kuwa na maana bila ya kuwa na irabu (a, e, i, o, u). Katika Lugha ya Kiswahili irabu ni moja ya vitu ambayo vinahitajika katika neno/maneno ya Kiswahili ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.