Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Naombeni kujuzwa hivi Mtendaji wa Kijiji anaitwa nani kwa kingereza
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAMA SAMIA. Asalamu alykumu, mama uhali gani Pokea yangu salamu, isije anguka chini Siandiki kulaumu, kukutia hatiani Yanilazimu kusema, nimetumwa na wanyonge. Wamenituma niseme, machache...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Mfano China inatumia lugha yake kwenye elimu za juu na maofisini hata kwenye usaili wanatumia lugha yao tofauti na sisi Tanzania kiswahili kwenye usaili(interview) ukiongea kiswahili badala...
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Wataalam wa kiswahili, anayejua maana ya maneno haya atupe maana SHANGAZI ni nani? (¡) Mke wa mjomba (¡) Dada au mdogo wake baba
2 Reactions
8 Replies
886 Views
Hili neno lina maana gani? Utasikia mtu anakwambia "yule jamaa ni kavu tu."
0 Reactions
11 Replies
3K Views
PANDE ZA TABU NA RAHA 1 Dunia tunayoishi,nayo ina mengi mambo Shida huwa haziishi, mawio msalagambo Tuishini kwa ucheshi,hilo ndio kubwa jambo Na imejazwa dunia, pande za tabu na raha 2 Lililo...
2 Reactions
2 Replies
986 Views
Binti kurudi shule Bado nalitafakari, hatima ya jambo hili Nawaza na kufikiri, matamko mbalimbali Jambo hili ni hatari, siasa tuweke mbali Binti kujifungua, arudi shuleni tena. Mimi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa maneno na maana zake. Ni katika kukuza lugha ya kiswahili nami nimekutana na maneno kadhaa hapa naomba tuendelee kushea ili kufahamu mengi zaidi kadri...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam! Naombeni kujuzwa ni sehemu gani kwa hapa Dar es Salaam wanatoa huduma ya kufundisha kispanyola. Naombeni mchanganuo wao mfano Ada zake, contacts zao nk.. Asanteni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu I Napenda kujua wapi nitapata Jukwaa la Vitabu/hadithi za Kiswahili humu katika jamii ya Jamii Forum?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!! Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha. Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na...
4 Reactions
5 Replies
695 Views
Wanalugha naomba kujua ikiwa neno hili Kupiga haliwezi kupata usaidizi au lipo neno lingine lifaalo kwa ajili ya kusaidia neno hilo. Utasikia Kupiga deki, kupiga mswaki, kupiga kura, kupiga...
1 Reactions
6 Replies
749 Views
Nisaidie tafsiri ya nyimbo za fally ipupa 1. Alo telephone 2. ecole
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga'...
1 Reactions
135 Replies
21K Views
Eti reviews laws. Khaa!! Edition yenu ya 19th Jan 2022. Fanyeni homework yenu vizuri hakuna Kizungu cha hivyo. Usahihi hapo ni 'Ministry review laws on community development' Kama wangetaka...
6 Reactions
194 Replies
10K Views
Habari za wakati huu, Nimekuwa nikisoma nyuzi mbali mbali humu Jamii Forums na nimefurahishwa nazo. Ila sifurahishwi na hii tabia ya mtu kupachika mstari wa kiingereza eti ndo kuonesha Msisitizo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu Naomba kuuliza maana hiki kitu kinanichanganya sana. Sijui kichwa changu ndio kigumu. ~Ni Yesu Kristu au Yesu kristo ~Je, dini ni Mkristu au Mkristo Naombeni majibu...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau nisaidieni shule nzuri au CLUB nzuri ya kiingereza kwa mkoa wa Arusha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom