Aawali ya yote ninapenda kuwashukuru kwa kubahatika kunusa uzi huu. Ifuatayo ni Tafakuri fupi ya uchambuzi Inayotokana na shairi la Tausi lililo ghaniwa na Mpoto akiwa na Mbosso.
Tausi wewe...
Lipi ni neno sahihi kwa matumizi.
Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo.
Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani.
Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho...
Habari zenu jamii intelligence and great thinkers, nimekuwa nikipenda sana kufanya judgment hususani kwenye lugha hii iliyokuja kwa meli.
Mara nyingi maneno ya kiingereza ukitaka kutoa sifa...
Wakuu tusaidiane ili kujua lugha zetu coz sote ni watanzania, naomba kujua lugha ya kihaya, kwa kuanzia naomba kujua maana ya maneno yaafuatayo kwa kihaya:
Habari za asubuhi
Habari za leo
habari...
Habari zenu.
Siku za hivi karibuni kumezuka kuwepo kwa neno"UNYAMA". Mfano mtu anamuliza Extrovert
"Wee jamaa mbona hela yangu haunilipi tangu nikukope?"
Extrovert anajibu "huku ni unyama unyama...
Za jioni humu JF
Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha miaka michache ijayo watapoteza lugha zao asili. Hapa nagusia haswa Wachaga na Wameru na waarusha
Hizi jamii hazipendi kufundisha watoto wao haswa...
Mchengerwa peke yake ndio amethibitisha kwa waislam wote walioapishwa leo, naye ni kwasababu alikuwa hakimu, anaelewa. Kisheria, waislam tumezoea huwa hawaapi, wanathibitisha. Wakristo ndio...
Habarini za asubuhi wana lugha JF.
Hili neno "literal" na kielelezi chake "literally" maana zao halisi ni zipi na huwa zinatumika kumaanisha nini kwenye sentensi maana nimekuwa nafuatilia Google...
Natafuta video fupi ya Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Dar ambayo alitimia neno hilo ambalo mpaka Sasa sijajua alimaanisha nini ili niitumie kuwauliza wajuzi wa lugha Mheshimiwa alimaanisha nini?
This is intended to be a forum for discussion about Greece. Respecting although all other nations and beliefs.
However, transmitting to people the values of Hellas and its beliefs.
Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu.
Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.